Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Ukonga..
20200713_222314.jpeg
 
Hongera sana mama Sophia Mwakagenda kwa ushindi mnono wa kura 140 na kuwaacha mbali wapinzani wako akiwemo kijana wa Sugu.

Msubiri Amon mwezi October.

Maendeleo hayana vyama!
 
Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa tiketi ya Chadema.

Jumla ya 128

Kura za Hapana 2

Kura za Ndio 126

Kura zilizoharibika Hakuna

Bulaya alikuwa ni mgombea pekee kama JPM

Maendeleo hayana vyama!
Akajiandae tu kugombea viti maalum na kina joyce mukya kama atawaweza.
 
Mrema akagombee Rombo kwanini anakuja mjini?
Hili ni jimbo la tatu sasa John Mrema anagombea anaishia kupigwa chini kwenye mchujo wa ndani tu.

2010 alikuwa Musoma huko sijui jimbo gani akapigwa chini

2015 nafikiri aligombea napo akapigwa chini.

2020 kapigwa chini na mwanamama so sad.
 
Kura za maoni ni mchakato wa kidemokrasia , yeyote aweza kuteuliwa kati ya wawili wa juu , Mrema kutokana na kubanwa na majukumu ya Makao Makuu hakupata hata uchochoro wa kupiga kampeni , inashangaza hata hizo kura amepataje .
Kwann aligombea kama anamajukumu mengi tuheshimu kura za wajumbe huyo mwamba kashndwa usimtetee
 
Back
Top Bottom