Maige Chagu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 237
- 245
Bulaya hawezi kushinda Bunda tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee anadai aliiibiwa kura!!! Kweli haya ni maajabu.
Akajiandae tu kugombea viti maalum na kina joyce mukya kama atawaweza.Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa tiketi ya Chadema.
Jumla ya 128
Kura za Hapana 2
Kura za Ndio 126
Kura zilizoharibika Hakuna
Bulaya alikuwa ni mgombea pekee kama JPM
Maendeleo hayana vyama!
Mleteni.Amesema safari hii hatakubali kuibiwa kura!
Kwani alishinda? Sasa 2020 ataambulia kapa kabisa. Sina ushabiki na Siasa ila Wasira anachekesha watanzania. Kesho eti ndiyo anachukua fomu I.e 14th JulyAmesema safari hii hatakubali kuibiwa kura!
Anakuja babu!Mleteni.
Siyo yale makopo ya Mbogamboga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Chadema nao wana vyombo
Wenyewe huwa wanaita Beauty with brains sio yale makopo ya mbogamboga.
Hili ni jimbo la tatu sasa John Mrema anagombea anaishia kupigwa chini kwenye mchujo wa ndani tu.Mrema akagombee Rombo kwanini anakuja mjini?
Mgogoro upi ?Hii kitu inaweza kuleta mgogoro.
Acha ushamba kakaNa hii ndio sababu ya mimi kutokuwa na ima n na chadema
Kwann aligombea kama anamajukumu mengi tuheshimu kura za wajumbe huyo mwamba kashndwa usimteteeKura za maoni ni mchakato wa kidemokrasia , yeyote aweza kuteuliwa kati ya wawili wa juu , Mrema kutokana na kubanwa na majukumu ya Makao Makuu hakupata hata uchochoro wa kupiga kampeni , inashangaza hata hizo kura amepataje .
Unamaanisha mawaziri kivuli?Mawaziri wetu watarajiwa hongera sana
Atawekwa viti maalumJohn Mrema viipi
Wachaga ndo wanaongoza kwa ukabila nchi hiiKwani wasukuma hao?
Au asubiri viti maalumAwahi kabla rombo hawajafanya kura za maoni akajaribu bahati yake na kule hehehe