Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

View attachment 1506003

Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba Wanachama wengi wa Chadema wanawaamini wakina mama kutokana na msimamo wao thabiti wa kutetea chama chao, inaaminika wanaume wengi wanajiuza kwa bei chee.

Mifano ni mingi, James Millya, Joshua Nassari na Mwita Waitara wanawakilisha mamia ya waliojiuza.
Basi by these results, tunabadili lugha, WANAUME NI MALAYA, . Ukiacha yote bado wanawake wamekuwa wajengaji hoja wazuri bungeni g, Mdee, Bulaya etc ;wasiwasi wangu ni Je watapata uungwaji mkono katika mfumo dume?
 
Uchunguzi binafsi nilioufanya ni kuwa chadema imeficha taarifa za ukweli wa kilichotokea
ni hivi matokeo yalitakiwa yaandikwe hivi

1.Idadi ya wajumbe wanaostahili kupiga kura kwenye eneo husika ni kadhaa
2.Waliopiga kura ni kiasi kadhaa
3.kura zilizopigwa kiasi kadhaa
4.Kura zilizoharibika kiasi kadhaa
5.Kura ambazo kila mgombea kapata kiasi kadhaa

Walichoficha chadema ni hiyo namba moja ambayo mimi ndio nimeigundua kuwa wanachadema wengi kwenye maeneo wameisusa chadema hawakwenda kupiga kura kabisa.Waliopiga kura hawafikii hata asilimia kumi ya waliotakiwa kwenda kupiga kura ya maoni!!!!

Pili wanaume walisusa kwenda kura za maoni Akina mama wengi ndio walienda kupiga kura sababu wengi wana vikundi vyao vya akina mama mitaani vya kusaidiana,kitchen party,send off,vicoba nk ( AKINA MAMA SHUGHULI) hivyo walihamasishana kuwa akina mama shime twende tukamsaidie mwanamama mwana kikundi mwenzetu!! wengi walioshinda akina mama wameshinda kupitia akina mama wa vikundi vyao .Na hii ni kazi ya Halima Mdee aliwahamasisha akina mama kutumia mitandao yao ya kivikundi mitaani kushinda

Tatu kuna FEMINIST MOVEMENT ndani ya Chadema iliyo chini ya Halima Mdee na ESTHER BULAYA na inakuwa funded na feminist movement za nje imesaidia kutoa support ya wanawake wengi CHADEMA kushinda

Tutarajie wanawake wengi sana kuwashinda wanaume kura za maoni Chadema
 
Basi by these results, tunabadili lugha, WANAUME NI MALAYA, . Ukiacha yote bado wanawake wamekuwa wajengaji hoja wazuri bungeni g, Mdee, Bulaya etc ;wasiwasi wangu ni Je watapata uungwaji mkono katika mfumo dume?
Mkuu kuna mahali kuna mfumo dume kama mkoa wa Mara?
Lakini sasa hivi wamebadilika na kuwajua wanawake mashujaa, ndio maana Bulaya na Matiko walikubalika.
Ila hawa WANAUME MALAYA wanatuondolea kuaminika kabisa hata katika familia. Nasikia kuna familia wanaume wanaambiwa "umekuwa kama Shilinde au Waitara" au pia wanaambiwa "unatuletea tabia za Nassari huoni aibu?"
iamlyenda___CCh5OJRgaQI___.jpg
 
Naona Lumumba mko busy kufuatili haya matokeo, na nina amini hata mwenyekiti wenu nae atakuwa busy kufuatilia.
Inashangaza hawa watu kuwa makini kiasi hiki namatokeo ya CHADEMA. .

Hali hii ni kielelezo tosha cha hali wa wasiwasi iliyopo ndani ya CCM
 
Kiukweli kina mama angalau msimamo upo, ukimwangalia ester matiko, Ester Bulaya na Halima Mdee kwa uchache.
Yaani manaume tumekuwa utopolo kabisa, shenzi zetu kabisa wanaume wote! Zamani tuliaminishwa kwamba malay.a ni wanawake lakini sasa hivi imedhihirika wanaume ndio malay.a tumechukua nafasi ya wanawake! Sikutegemea mtu kama Silinde atakuwa mpumbavu kiasi hicho!!
 
Magu mwenyewe kasema ukishindana na mwanamke lazima akushinde, Chadema ijiandae na ushindi wa kishindo.
duh! mkuu unajua kuuguza mgonjwa wetu chadema anaejifia taratibu kwa kumkandika uji non stop! kishindo gani tena? cha radi,tetemeko,kuanguka nyumba, au mti au?

hivi ni nani nchi hii ataipigia kura Chadema na wakati sote nchi nzima tumeshuhudia kiongozi wake DJ Makengeza amevunjwa mguu na wahuni wa chadema waliochukizwa kuona kaenda kulewa pombe na kufanya uzinzi na viti maalum wake hawara Joy kwa pesa zao ruzuku na michango ya wabunge!! sidhani kama chadema itapata hata kura moja majimboni!! mkipata hicho kishindo usisahau kunitag!! mark my words!

DJ ni mpumbavu sana alijijengea heshma kubwa kwa miaka mingi kaja kuivunja wakati mbaya wa uchaguzi na kushusha thamani yote ya Saccoss yake kwenye jamii kwa ulevi, uzinzi na wizi wa fedha za chama!
 
Mkuu kuna mahali kuna mfumo dume kama mkoa wa Mara?
Lakini sasa hivi wamebadilika na kuwajua wanawake mashujaa, ndio maana Bulaya na Matiko walikubalika.
Ila hawa WANAUME MALAYA wanatuondolea kuaminika kabisa hata katika familia. Nasikia kuna familia wanaume wanaambiwa "umekuwa kama Shilinde au Waitara" au pia wanaambiwa "unatuletea tabia za Nassari huoni aibu?"View attachment 1506106
Kweli kabisa, unaona malaya wamekaa pamoja hapo pichani, wanajiuza
 
View attachment 1506003

Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba Wanachama wengi wa Chadema wanawaamini wakina mama kutokana na msimamo wao thabiti wa kutetea chama chao, inaaminika wanaume wengi wanajiuza kwa bei chee.

Mifano ni mingi, James Millya, Joshua Nassari na Mwita Waitara wanawakilisha mamia ya waliojiuza.
Dogo jifunze kuandika kwa heshima hao wanaume unaosema wanajiuza kuna waliopoteza maisha yao kwa sababu ya CHADEMA.

Kuna waliopoteza kazi zao kwa sababu ya chadema.

Unaandikaje upuuzi kama huu dhidi ya wanachama wa chama chako ?

Au chama siku hizi kinahost wahuni kama yale makopo ya mbogamboga ?

Futa hii kauli yako siyo nzuri kwa wanachama wengine hasa wanaume.
 
duh! mkuu unajua kuuguza mgonjwa wetu chadema anaejifia taratibu kwa kumkandika uji non stop! kishindo gani tena? cha radi,tetemeko,kuanguka nyumba, au mti au? hivi ni nani nchi hii ataipigia kura Chadema na wakati sote nchi nzima tumeshuhudia kiongozi wake DJ Makengeza amevunjwa mguu na wahuni wa chadema waliochukizwa kuona kaenda kulewa pombe na kufanya uzinzi na hawara joy kwa pesa zao ruzuku na michango ya wabunge!! sidhani kama chadema itapata hata kura moja majimboni!! mark my words!!
CHADEMA ipi inayojifia nyie madhalimu sisiem?
Hii mliyoipiga marufuku isifanye siasa miaka5 huku siasa mkifanya ninyi wenyewe na bado inaendelea kukua kila leo?

Hii mnaokamata, kuteka, kuwaweka kizuizini, kuwapiga na kuwatia ulemavu viongozi wao wengine mnnawaua lakini CHADEMA hiyo hiyo ndo kwanza inaimarika?

Hii mnayotumia wahuni kuwatwanga Risasi viongozi wake mchana saa7 kweupe?

CHADEMA hii hii mnayotuma wahuni usiku wakamshambulie mwenyekiti Kisha mnatumia propaganda kuonyesha mwenyekiti alikuwa amelewa??

Niwaambie tu pale umma utakapoamua hakika mtalia na kusaga meno!

Umma ukisimama kidete mtahaama nchi! Hakuna wa kutuzuia, tutaondoa kuanzia mtoto mwenye miaka 0 mpaka Bibi mwenye miaka 100+ mwenye vinasaba vya Lumumba! Chuki mliyoipanda kwa kipindi kirefu Sasa haivumiliki!

CC: USSR, MAGONJWA MTAMBUKA, WAKUDADAVUA, BIA YETU, MBINGUNIKWETU(HUYU NI DAUD ALBERT BASHITE)
 
Basi by these results, tunabadili lugha, WANAUME NI MALAYA, . Ukiacha yote bado wanawake wamekuwa wajengaji hoja wazuri bungeni g, Mdee, Bulaya etc ;wasiwasi wangu ni Je watapata uungwaji mkono katika mfumo dume?
Sikutegemea na wewe ungeunga mkono huu udhalilishaji alioufanya mleta mada.

Anyway labda ndiyo CHADEMA ya sasa hii.[emoji2369]
 
CHADEMA ipi inayojifia nyie madhalimu sisiem?
Hii mliyoipiga marufuku isifanye siasa miaka5 huku siasa mkifanya ninyi wenyewe na bado inaendelea kukua kila leo?

Hii mnaokamata, kuteka, kuwaweka kizuizini, kuwapiga na kuwatia ulemavu viongozi wao wengine mnnawaua lakini CHADEMA hiyo hiyo ndo kwanza inaimarika?

Hii mnayotumia wahuni kuwatwanga Risasi viongozi wake mchana saa7 kweupe?

CHADEMA hii hii mnayotuma wahuni usiku wakamshambulie mwenyekiti Kisha mnatumia propaganda kuonyesha mwenyekiti alikuwa amelewa??

Niwaambie tu pale umma utakapoamua hakika mtalia na kusaga meno!

Umma ukisimama kidete mtahaama nchi! Hakuna wa kutuzuia, tutaondoa kuanzia mtoto mwenye miaka 0 mpaka Bibi mwenye miaka 100+ mwenye vinasaba vya Lumumba! Chuki mliyoipanda kwa kipindi kirefu Sasa haivumiliki!

CC: USSR, MAGONJWA MTAMBUKA, WAKUDADAVUA, BIA YETU, MBINGUNIKWETU(HUYU NI DAUD ALBERT BASHITE)
Mwendawazimu akichorewa mlango ukutani atahangaika sana kujaribu kupita!! hao ndio Chadema!! umma upi unauongelea mkuu? umma huu wa makapuku? nakutakia kila la heri upone ugonjwa kuamini nadharia!!
 
Back
Top Bottom