Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Huelewi maana ya democracy,tuangalie sababu ya kupigwa chini,kama ni kura sawa,ula sio maamzi ya watu ilikufurahisha raia
 
Chadema tuwasaidie kuona kuwa aliyekijenga chama sasa ndie tatizo kubwa na sababu ya kuporomoka kwake, baada ya chama kukua DJ Makengeza akaongezeka ukubwa masikio yake na kuota mapembe, akaanza uzinzi na viti maalum kina Joyce na wasichana waliotaka kupata hizo viti maalum, majina yao ninayo wengine aliwapeleka bungeni kusaidia kuandika hotuba za wabunge wake , DJ ni kahaba mzoefu, DJ akaiba pesa za ruzuku na michango ya wabunge, na baada ya kuwa na stress sasa kavamia ulevi wa kutupwa!!

Kama members wa chadema wangempa nafasi Mbowe junior ingeonesha kukubalika kwa DJ Makengeza na hii ingekuwa ni shukrani from members.

what I interpret here ni kwamba viongozi na members wa saccoss ya chadema humchekea Mbowe usoni na kumchukia moyoni, Mbowe must stop trusting others!! DJ must go now he has become a cripple, ni mzigo tu kwa saccoss kwasasa, analewa ovyo pesa za chama, anapigwa na wahuni akitoka kwa Joyce usiku nk, DJ hajielewi tena hafai kuwa kiongozi!

Shime shime wana chadema wenzangu huu ni wakati muafaka wa kumtoa dikteta Mbowe madarakani
 
Back
Top Bottom