Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #101
All the best
Ban inakuotea na umeiomba mwenyewe!
๐Ona sasa umeapa mwenyewe!! Apigwe ban ya kisawasawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All the best
Ban inakuotea na umeiomba mwenyewe!
๐Ona sasa umeapa mwenyewe!! Apigwe ban ya kisawasawa.
Bado unahitaji ban?[emoji120]
Hakuna haja ya msamaha acha nipate stahiki yangu na iwe mfano kwa waeka ahadi
we sio wa kwanza kuweka ahadi na kufungiwa kuna huyu The best 007 alipigwa ban ya week ambayo alioomba kama weweHakuna haja ya msamaha acha nipate stahiki yangu na iwe mfano kwa waeka ahadi
Shukran mkuu
Kama simba atashinda nastahiliBado unahitaji ban?
Hakuna shida mkuuwe sio wa kwanza kuweka ahadi na kufungiwa kuna huyu The best 007 alipigwa ban ya week ambayo alioomba kama wewe
ilikuwa ni mechi ya EPL
๐Mod anaendelea kupeleka kitufe cha BANNED kwenda chini...
Tulia mda bado๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ mzeee ongeza ban iwe ya mwaka kabisa
nitarudi kukuombea ban mpira ukiishaTulia mda bado
Nawewe una roho hiyonitarudi kukuombea ban mpira ukiisha
Nasikia harufu ya BAN umu ndgni?Nitalitekeleza hili kwa kuwa nje ya jf kwa kipindi husika(tajwa) kama mods watashindwa kutekeleza nilichoahidi.
JamiiForums Moderator
Wale wa ahadi zitakazotekelezeka tukutane hapa.
View attachment 2589942
kila la heri wananchi
๐๐๐๐๐ aaaaah jamani kwani si umeomba mwenyeweโฆ.mi nipo kukusapoti mkuuNawewe una roho hiyo
๐
Nashukuru kwa ukarimu wako๐๐๐๐๐ aaaaah jamani kwani si umeomba mwenyeweโฆ.mi nipo kukusapoti mkuu
๐Modu wetu ni wasikivu sana
Mkuu focus kwenye kuangalia mpira ๐ ๐๐Parapandaaaa italia parapandaaa....x2
....nipe like ya mwisho mwisho mkuu kabla jambo halijakukuta.!sababu muda unayoyoma.Nitalitekeleza hili kwa kuwa nje ya jf kwa kipindi husika(tajwa) kama mods watashindwa kutekeleza nilichoahidi.
JamiiForums Moderator
Wale wa ahadi zitakazotekelezeka tukutane hapa.
View attachment 2589942
kila la heri wananchi ๐๐