Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Si kwa raha hizi jinsi Kolowizards linavyoteseka namna hii [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Si kwa raha hizi jinsi Kolowizards linavyoteseka namna hii [emoji23]View attachment 2832139

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
😁😁😁😁😁😁😁
Mnavaa misuli na kuvumbua jezi mpya mnafikiri bado mko shirikisho😁😁😁😁
Sasa hivi mnatamani hadi draw za Simba.
Bado Al Ahly anawasubiri Misri.Ili kupoza maumivu ya kipigo mtachopata inabidi ujipige picha kwenye bango la Yanga la 5-1, uangalie documentary ya shirikisho na uvae medali😁😁😁😁😁😁
 
Mtatamani kuitwa mwakarobo na hamtaipata. Hakika nyinyi ni utopolo, kumbe nyinyi kuipata mwakarobo mnataka timu kwenye kundi ziwe kama akina Marumo wakati wenzenu mbele ya akina Al Ahly, AS Vita ya moto walipasua mpaka robo.
 

Mmeshaanza kuhamia kwa makundi
 
Yaani kundi la kifo liwe la Medeama na Yanga halafu kundi la Pyramids, Mazembe na Mamelodi, timu tatu zilizo top 10 kwenye rank za CAF utaliitaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…