Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Level yenu ni kucheza shirikisho na lazima uzungumzie shirikisho kwasababu tofauti na hapo hauna cha kumtambia Mwakarobo

Kukusaidia ili uwe na furaha

1. Kajipige picha kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 - Simba 1
2. Ongelea medali za shirikisho na mlivyoifunga USM Alger 1-0.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bado Al Ahly anawasubiri nyumbani. Mtavunja rekodi ya Simba?
Si kwa raha hizi jinsi Kolowizards linavyoteseka namna hii [emoji23]
JamiiForums-751034406.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Si kwa raha hizi jinsi Kolowizards linavyoteseka namna hii [emoji23]View attachment 2832139

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
😁😁😁😁😁😁😁
Mnavaa misuli na kuvumbua jezi mpya mnafikiri bado mko shirikisho😁😁😁😁
Sasa hivi mnatamani hadi draw za Simba.
Bado Al Ahly anawasubiri Misri.Ili kupoza maumivu ya kipigo mtachopata inabidi ujipige picha kwenye bango la Yanga la 5-1, uangalie documentary ya shirikisho na uvae medali😁😁😁😁😁😁
 
Mtatamani kuitwa mwakarobo na hamtaipata. Hakika nyinyi ni utopolo, kumbe nyinyi kuipata mwakarobo mnataka timu kwenye kundi ziwe kama akina Marumo wakati wenzenu mbele ya akina Al Ahly, AS Vita ya moto walipasua mpaka robo.
 
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi

Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18

Mmeshaanza kuhamia kwa makundi
 
Mwandishi Yuko right sema wewe ndio ujamuelewa unasukumwa na mahaba niue, KUNDI mmepewa mchekea la wakina jwaneng, mwarabu mliyepewa ndio Ivyo anapewa vichapo tu na ni mmoja, yanga Anao mabingwa wa Algeria na mabingwa wa Misri na afrika, wanao mabingwa wa Ghana ivyo wako kwenye KUNDI la kifo tofauti na Simba ambao KUNDI lao ni lakini sana lakini kwakuwa Simba yenyewe imeshakuwa mzoga inaweza Kuona KUNDI lake ni GUMU but yanga ingewaburuza wote hao na kuiongoza KUNDI mapema sanaaa
Yaani kundi la kifo liwe la Medeama na Yanga halafu kundi la Pyramids, Mazembe na Mamelodi, timu tatu zilizo top 10 kwenye rank za CAF utaliitaje?
 
Back
Top Bottom