steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Tafuteni kundi la kuhamia bloangu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wala hakuna tatizo. Kwanza sisi Yanga kwa msimu huu malengo yetu makuu yalikuwa ni kufika hatua ya makundi.
Hivyo tukiishia hatua hii, poa tu. Tutajipanga vizuri msimu ujao.