Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

kenya walikimbizwa na sheria na sio kushuka kimapato. betting company ikiwa na option nzuri pamoja na bonus watu wataikimbilia tu bila kujali inadhamini utopolo
Sasa wewe unaumia nini akidhaminiwa Bingwa wako wa makombe ma3 2022/2022 ikiwa wewe ni MAKOLO [emoji848][emoji13]
 
Kuna Watu Wamenunuliwa Na Kanjibai Kwa 20B Maisha Yao Yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siku nyingine uiheshimu sana Simba🦁🦁
 

Attachments

  • Screenshot_20220727-130136_WhatsApp.jpg
    96.3 KB · Views: 6
Simba kajitoa sportpesa kaenda m bet atavuna bilioni 3 kwa mwezi kwa miaka mitano...heri kwao.

Yanga hajaachana na sportpesa anakwenda kuvuna bilioni 4 kwa mwezi kwa miaka 3....heri kwetu.

Patamu hapo

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hatuwezi fanya kazi na kampuni mda wote vikao vya kupunguziana bei, waendelee na Yanga wenzao
 
Wote Yanga hao watajuana wenyewe
 
Simba amesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya bilioni 31..Subiri tarehe moja tupate taarifa rasmi
 
Simba amesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya bilioni 31..Subiri tarehe moja tupate taarifa rasmi
Wewe Acha Kupotosha Makolo Wenzio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Mkataba Wenu Ni 15B Kwa Miaka Mitano...Kama Unabisha Subiri Iyo Tarehe Unayosemea Utaona.
 
Siku nyingine uiheshimu sana Simba[emoji881][emoji881]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kolo Hujui Za Ndaaani Kuhusu Timu Lenu, Kimkataba Chenu Ni 15B Kwa Miaka Mitano [emoji1787][emoji1787]...Kama Unabisha Subiri Utaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…