Wewe Simba kaingia mkataba wa Billion 15 kwa miaka 3 na MBet, sasa unasemaje mara tatu?? Simba wako juu.Hii Sasa Sifa mkataba wa bilion nne na ushee Kwa mwaka!! Nyie Sport pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba.
Kama Yanga watafanikiwa kupata udhami kwenye kampuni nyingine na jumla ya udhamini wao ukafika bilioni nane basi hakuna Sababu yoyote ya kufanya timu isifike robo fainali Kila msimu wa mashindano ya Caf champion league.
Kaa kwa kusubiri siku hazigandi, Mo hajawahi kuwa mjinga kiasi hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kolo Hujui Za Ndaaani Kuhusu Timu Lenu, Kimkataba Chenu Ni 15B Kwa Miaka Mitano [emoji1787][emoji1787]...Kama Unabisha Subiri Utaona.
Sasa Subiri Utaona [emoji23][emoji23][emoji23]Kaa kwa kusubiri siku hazigandi, Mo hajawahi kuwa mjinga kiasi hicho
Wewe Kolo Kimkataba Chenu Ni 15B Kwa Miaka Mitano...Mnataka Kutuambia Nn Nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utopolo mkataba walioingia Simba SC na M- bet bado hamjaijua thamani yake lakini mmeshaanza kutupigia makelele yenu tuliyoyazoea.
Siku Simba SC wakitangaza thamani ya mkataba wao sijui mtajificha wapi...
Hivi kwa akili zenu [kama mnazo maana sijui kama manyani wanazo!], Simba SC hawajui calculation waone kikubwa kiko wapi mpaka wakaitosa Sprtpesa?
Ila nyie manyani mnaniangusha sana!.
Na mshukuru hicho mlichopata, kama sio Simba SC kuzikataa zile chenchi za Sportpesa ndio zikakusanywa mkapewa nyie sasa hivi mngekuwa mnahesabu mia mia tu..
Muache aichukue hata for free, cha msingi tuwe tuna shinda mataji tuMO ameichukua Simba kwa miaka 10 kwa bilioni 20; na hela sijui aliweka😶
Awepo kufanya nini sasa na wakati ananuka mavi.Manara alikuwepo?
Nikusahihishe, Kwa uhakika lazima kapata dili kubwa kuliko lile la awali, ila huwezi sema kapata zaidi ya hili la Yanga maana hulijui bado la SimbwaUkiwa na akili utaelewa kama SIMBA ameachana na SPORT PESA ina maana kapata dili kubwa kuliko hili la kwenu
Wewe unaingiza ushabiki..Mimi nimekuambia ukweli,tarehe moja si wiki ijayo ? TusubiriSimba wamesain miaka mitano Kwa bil 12.5, Kwa mwaka Simba watalamba 2.5 bilion.
Kwa mwakaSimba kajitoa sportpesa kaenda m bet atavuna bilioni 3 kwa mwezi kwa miaka mitano...heri kwao.
Yanga hajaachana na sportpesa anakwenda kuvuna bilioni 4 kwa mwezi kwa miaka 3....heri kwetu.
Patamu hapo
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Una akili kichwani wewe mbugila?? Unaijua bil 31 kwa miaka mitano??Simba amesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya bilioni 31..Subiri tarehe moja tupate taarifa rasmi
Matusi ya nini? Lazima unitukane? Nimecomment ili uje kunitukana?Una akili kichwani wewe mbugila?? Unaijua bil 31 kwa miaka mitano??
Mbona mkataba wa Simba washasema tayari ni Bil 15 kwa miaka mi5?? Wewe hiyo Bil 31 umeitolea wapi??
Huna akili.