Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba hawajaingia mkataba na SportPesa, acha kupotosha. Na hata hao walioingia nao, hawajatangaza viwango na waliwqeka wazi kuwa undani wa mkataba utatangazwa tarehe 1 August. Kumbuka, Simba walikataa ofa hiyo ya SportPesa na hilo lilisemwa na Tarimba Abbas
Simba walizikataa hizo, msikilize Tarimba:Makolo ndo mtajua kuwa hamjui .
Sio siku nyingi, wiki mbili tu zilizopita, yaani tarehe 14/07/2022Nafikiri unazungumzia offer ya miaka ya nyuma, sidhani kama simba wangetaa offer kama hii waliyopewa Yanga
Kuwaelewesha mashabiki wa yanga inahitaji nguvu ya ziada
Simba walizikataa hizo, msikilize Tarimba:
Subiri tarehe 01 /08/2022 ndo utajua kwamba simba ni kubwa kuliko Yanga.Makolo kwa m bet ni bil ngapi?
Elimu inahitajika hapa. Usichanganye kati ya vitu hivi viwili, yaani udhamini na uwekezaji. Uwe unajaribu kupitiapitia semina za kibiashara, siku hizi zipo nyingi tu hata youtube, zitakusaidia hata katika ishu zako mbali na ishu za Yangamnataka bil 20 za mooo
kwa hiyo uwekezaji na udhamini ni tofauti... MO ni nani??? anyway cha muhimu hela itolewe hayo mengine yote utopoloo tu...Elimu inahitajika hapa. Usichanganye kati ya vitu hivi viwili, yaani udhamini na uwekezaji. Uwe unajaribu kupitiapitia semina za kibiashara, siku hizi zipo nyingi tu hata youtube, zitakusaidia hata katika ishu zako mbali na ishu za Yanga
Basi ndipo watu wanapoachana hapo. ukiwa mvivu kujifunza utalazimika kuwaachia wengine wakuzungumzie mambo yako. Kama hujui tofauti ya udhamini na uwekezaji, na bado unataka kulinganisha kati ya 20B za muwekezaji dhidi ya hela yoyote ya mdhamini, basi tuna tatizo katika kizazi hiki. Jambo kubwa ninalokushauri (kwa kuwa umekata tamaa ya kutaka kujifunza), ni kwamba ubaki kuwa shabiki tu wa matokeo ya mpira uwanjani (yaani moja bila, mbili bila, moja moja, tano bila, nne moja nk), haya mambo ya fedha usiyazungumzie kabisa maana wenye maarifa watakuchekakwa hiyo uwekezaji na udhamini ni tofauti... MO ni nani??? anyway cha muhimu hela itolewe hayo mengine yote utopoloo tu...
Point ni kuweka helaaa sio kujidai mwekezaji wakati hata mdhamini anakushindaa kuweka mpungaa... maarifa yako kaa nayoo mpaka siku MO akiweka bil 20 mezani sio kwenye makaratasiBasi ndipo watu wanapoachana hapo. ukiwa mvivu kujifunza utalazimika kuwaachia wengine wakuzungumzie mambo yako. Kama hujui tofauti ya udhamini na uwekezaji, na bado unataka kulinganisha kati ya 20B za muwekezaji dhidi ya hela yoyote ya mdhamini, basi tuna tatizo katika kizazi hiki. Jambo kubwa ninalokushauri (kwa kuwa umekata tamaa ya kutaka kujifunza), ni kwamba ubaki kuwa shabiki tu wa matokeo ya mpira uwanjani (yaani moja bila, mbili bila, moja moja, tano bila, nne moja nk), haya mambo ya fedha usiyazungumzie kabisa maana wenye maarifa watakucheka
😅😅😅😅 oya kaka unanzingua mbn mapema....yanga kapata na nyinyi mtapata hapo badaeDawa ni Mashabiki WA simba hakuna kutumiA spotpesa
sasa MBET na option zao zilee nani atatumiaaa 😀 😀 😀Dawa ni Mashabiki WA simba hakuna kutumiA spotpesa
Wewe itakua data zimezima,mudi mumuuzie timu yote kwa b 20 halafu muingie mkataba wa udhamini kwa miaka 3 kwa b 31!nilijua rage anawasimanga wajukuu zake kumbe mzee wa watu alikua sahihi kuwaita makolo mbu3Simba amesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya bilioni 31..Subiri tarehe moja tupate taarifa rasmi
Na wa Yanga awatumii m betDawa ni Mashabiki WA simba hakuna kutumiA spotpesa
😀😀😀😀mdhamini anaweka hela achana na mudi mkuuWewe itakua data zimezima,mudi mumuuzie timu yote kwa b 20 halafu muingie mkataba wa udhamini kwa miaka 3 kwa b 31!nilijua rage anawasimanga wajukuu zake kumbe mzee wa watu alikua sahihi kuwaita makolo mbu3