Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

Simba hawajaingia mkataba na SportPesa, acha kupotosha. Na hata hao walioingia nao, hawajatangaza viwango na waliwqeka wazi kuwa undani wa mkataba utatangazwa tarehe 1 August. Kumbuka, Simba walikataa ofa hiyo ya SportPesa na hilo lilisemwa na Tarimba Abbas

Nafikiri unazungumzia offer ya miaka ya nyuma, sidhani kama simba wangetaa offer kama hii waliyopewa Yanga
 
Sio siku nyingi, wiki mbili tu zilizopita, yaani tarehe 14/07/2022

1658924781659.png
 
mnataka bil 20 za mooo
Elimu inahitajika hapa. Usichanganye kati ya vitu hivi viwili, yaani udhamini na uwekezaji. Uwe unajaribu kupitiapitia semina za kibiashara, siku hizi zipo nyingi tu hata youtube, zitakusaidia hata katika ishu zako mbali na ishu za Yanga
 
kwa hiyo uwekezaji na udhamini ni tofauti... MO ni nani??? anyway cha muhimu hela itolewe hayo mengine yote utopoloo tu...
 
Basi ndipo watu wanapoachana hapo. ukiwa mvivu kujifunza utalazimika kuwaachia wengine wakuzungumzie mambo yako. Kama hujui tofauti ya udhamini na uwekezaji, na bado unataka kulinganisha kati ya 20B za muwekezaji dhidi ya hela yoyote ya mdhamini, basi tuna tatizo katika kizazi hiki. Jambo kubwa ninalokushauri (kwa kuwa umekata tamaa ya kutaka kujifunza), ni kwamba ubaki kuwa shabiki tu wa matokeo ya mpira uwanjani (yaani moja bila, mbili bila, moja moja, tano bila, nne moja nk), haya mambo ya fedha usiyazungumzie kabisa maana wenye maarifa watakucheka
 
Dawa ni Mashabiki WA simba hakuna kutumiA spotpesa
 
Point ni kuweka helaaa sio kujidai mwekezaji wakati hata mdhamini anakushindaa kuweka mpungaa... maarifa yako kaa nayoo mpaka siku MO akiweka bil 20 mezani sio kwenye makaratasi
 
Simba amesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya bilioni 31..Subiri tarehe moja tupate taarifa rasmi
Wewe itakua data zimezima,mudi mumuuzie timu yote kwa b 20 halafu muingie mkataba wa udhamini kwa miaka 3 kwa b 31!nilijua rage anawasimanga wajukuu zake kumbe mzee wa watu alikua sahihi kuwaita makolo mbu3
 
😀😀😀😀mdhamini anaweka hela achana na mudi mkuu
 
Back
Top Bottom