Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Ndio maana tutacheza super league mwaka huu kwakuwa sisi ni wakubwa hapa AfricaHakuna aliyewauliza mpo wapi
Nyie kaeni huko Kwa Raha zenu
Ila msisahau kikombe cha Robo Fainali hakina Silverware Wala medali
Ndiyo,kwani kuwa na kombe la CC au CL ndio dalili ya timu kubwa au
Man city na Arsenal wameongoza sana makundi ila hawana UEFA wala UROPA πππNdiyo,
Ushaona timu Inashika namba moja bila ya kuwa na kikombe chochote Cha aidha CL au CL!?
Tafuteni kikombe nyie
Kama hamna kikombe Cha CL,CC basi najua hata huko SL mtaambulia kombe lenu la Robo FainaliNdio maana tutacheza super league mwaka huu kwakuwa sisi ni wakubwa hapa Africa
Kwenye vilabu Bora duniani wapo nafasi ya kwanza!?Man city na Arsenal wameongoza sana makundi ila hawana UEFA wala UROPA πππ
Mkitaka kucheza super league na nyie inabidi muwe mnacheza caf champions mara kwa mara sio huko kombe kla loser ππKama hamna kikombe Cha CL,CC basi najua hata huko SL mtaambulia kombe lenu la Robo Fainali
Wote wapo kumi bora kama ilivyokuwa kwa Simba wa 8 AfricaKwenye vilabu Bora duniani wapo nafasi ya kwanza!?
Mna kombe lolote huko!?Mkitaka kucheza super league na nyie inabidi muwe mnacheza caf champions mara kwa mara sio huko kombe kla loser ππ
Nasema namba mojaWote wapo kumi bora kama ilivyokuwa kwa Simba wa 8 Africa
Sasa FA Cup na lenyewe si kama kombe la mbuzi tu,Ndugu Mbumbumbu inawezekana mambo ya mpira huyafahamu vizuri, Mwaka 2010 Portsmouth ambayo ilikua tayari imekata tiketi ya kushuka daraja kutoka Premier league kwenda Champion ship ilifaniliwa kucheza Final ya FA na Chelsea.
Ivyo si jambo a kushangaza katika mpira wa miguu.
namba moja mpk uchukuwe kombe wao ni no 2 tuuNasema namba moja
Elewa swali mkuu
Mchukue kombe sasanamba moja mpk uchukuwe kombe wao ni no 2 tuu
Mna vimelea vya uke-wenza hilo ndio tatizo lenuπ π natanyokaa.Sisi tulikuwa vibaya msimu uliopita that why tulikuwa kombe la loser ila sio now ππ
Hilo ni kombe la loser huwezi kuta mamelod au al ahyl yupo huko kwakuwa wao ni mabingwa kama sisi tupo huku kwa mabingwa wenzetu πππMna vimelea vya uke-wenza hilo ndio tatizo lenuπ π natanyokaa.
.
Mabingwa wa zuena cup au mo energy cupπ πHilo ni kombe la loser huwezi kuta mamelod au al ahyl yupo huko kwakuwa wao ni mabingwa kama sisi tupo huku kwa mabingwa wenzetu πππ
Kweli?Kabylie anashuka daraja na anacheza robo fainali ya klabu bingwa View attachment 2576569
Kweli?
Aisee elimu yako ni ya kidato cha ngapi na ufaulu wako ulikuwaje?
UnajitoA ufahamu eti.Washabiki wa Simba bana, kabla ya makundi ilikuwa yanga anaenda kulitia Taifa aibu!!. Yanga kafuzu kwa kishindo akiongoza kundi huku akimpusua mbabe wa Afrika mashariki Tp Mazembe nje/ndani,
Saizi wekuja na vihoja vya eti shirikisho kuna timu zinashuka daraja π π . Tulieni tuwakandie atakayekuja mbele.... Wanaume kwenye hii huanzia ugenini na kumalizia nyumbani ..
Kabylie Ana mechi 3 nyuma ya wenzake. Na akishinda moja anaruka mtego huo. Kabakiza mechi 13. Na hajaongoza kundi.Kabylie anacheza robo fainali klabu bingwa ilihali kwenye msimamo wa ligi yao yupo mkiani.
Na nilikuwa namjibu mleta mada aliyeiponda kuhusu timu za shirikisho View attachment 2576613View attachment 2576614