Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?

Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.
Wanakufa kiume [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?

Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.
Kaingia fainali mashindano yapi?
"Wacheni kujitoa akili! Sio Champions league ile! Mlifungwa na kutolewa huko!" -- Manara AKA Buggati

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Bado ni mafanikio maana yalimuongezea point na akiendelea hivi msimu huu atafika pot 3

Kikubwa ni kubeba kombe

Pots,rankings na kuishia sijui robo,nusu sijui fainali kama finalists inabaki ni maneno ya kujifariji tu

Kikubwa ni kuleta kombe iwe shirikisho au klabu bingwa
 
Heading inazungumzia CAF

Lini mara ya mwisho Yanga alifika robo fainali kwenye mashindano ya CAF Champions League kama Simba?

Hayo ndio mashindano makubwa hapa Africa

Nyie mlicheza fainali ya CAF Confederation Cup ambayo ni mashindano madogo ukilinganisha na CAF Champions league

Kimataifa Yanga bado sana kuzifikia rekodi za Simba
Yanga yenyewe ndio mara ya kwanza kugusa makundi ya CAF baada ya miaka nenda rudi .
 
Na ndiye anayeweza fanya makubwa kwa mkupuo mmoja

Simba aliyeingia makundi miaka nenda rudi kafanya nini la maana zaidi ya kuwa ngazi ya wwngine kupita kwenda kuchukua ubingwa?
 
S
Heading inazungumzia CAF

Lini mara ya mwisho Yanga alifika robo fainali kwenye mashindano ya CAF Champions League kama Simba?

Hayo ndio mashindano makubwa hapa Africa

Nyie mlicheza fainali ya CAF Confederation Cup ambayo ni mashindano madogo ukilinganisha na CAF Champions league

Kimataifa Yanga bado sana kuzifikia rekodi za Simba
Simba mashindano gani Kati championship au confederation. Alifika angalau nusu fainali tu, huku kwenye fainali Ni mbali, Nusu tu
 
Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?

Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.

Ungesema yanga kaingia fainali baada ya miaka mingi.. huo msimu wa kwanza unapimaje.. hata ipite miaka miamoja kama kitu kikija kufanyika tena huwez kuanza kukiita cha kwanza.. tanzania mwaka 2020 ingechukua kombe la Africa tusingesema kwa Mara ya kwanza imeingia na kuchukua kombe ila tungesema ikiwa ni mara ya pili kushiriki afcon wamechukua kombe kwa mara ya kwanza.. maana tanzania alishiriki afcon 1980

So udhaifu wa Simba na wa Yanga Sawa tu maana Simba hajavuka Robo ila
Hiyo 25yrs yanga sio kuwa alikuwa hapat nafasi ya kushirikia CAF league alikuwa anapata ila
Alikuwa anafeli so kitendo cha kuweza
Kufika Fainall kisimfanye eti yeye mpya mashindanoni
 
Ya mwaka jana tuachane nayo

Mwaka huu mjitahidi msiiishie robo
 
Back
Top Bottom