Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Halafu hii hoja wanaikwepa sanaHuyo timu ndogo Algers kamfunga bwana wako uliekufa kiume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hii hoja wanaikwepa sanaHuyo timu ndogo Algers kamfunga bwana wako uliekufa kiume
Hivi Enyimba alikufa ngapi jana?Vigezo gani hivyo vilivyoanishwa au ndio hivi vya wakina Mazembe,Enyimba kufa nyingi na wewe ukifa kiume?
1993Wewe hiyo fainali ya Shirikisho umefika lini?
Hauna hoja mkuuRekodi zipi,hizi za kuloga mchana hadharani ugenini na kufa kiume?
Wanakufa kiume [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?
Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.
Sio mbaya, mnakufa kiume [emoji1787]Mbona unazungumzia mashindano 2 tofauti mkuu
Yanga alifika fainali ya shirikisho Simba robo fainali ya klabu bingwa Afrika
Ni sawa na uifananishe UEFA na EUROPA
Ni lini mara ya mwisho Yanga iliingia robo fainali ya klabu bingwa?
Hauna hojaSio mbaya, mnakufa kiume [emoji1787]
Kwani CAF wanasimamia mashindano mangapi kwa soka la wanaume ngazi ya klabu?Hauna hoja
Kaingia fainali mashindano yapi?Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?
Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.
Bado ni mafanikio maana yalimuongezea point na akiendelea hivi msimu huu atafika pot 3Kaingia fainali mashindano yapi?
"Wacheni kujitoa akili! Sio Champions league ile! Mlifungwa na kutolewa huko!" -- Manara AKA Buggati
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Wewe ukiwa ni mfano mzuriWahenga Wanasema Bora ukose mali upate Akili.
Yanga yenyewe ndio mara ya kwanza kugusa makundi ya CAF baada ya miaka nenda rudi .Heading inazungumzia CAF
Lini mara ya mwisho Yanga alifika robo fainali kwenye mashindano ya CAF Champions League kama Simba?
Hayo ndio mashindano makubwa hapa Africa
Nyie mlicheza fainali ya CAF Confederation Cup ambayo ni mashindano madogo ukilinganisha na CAF Champions league
Kimataifa Yanga bado sana kuzifikia rekodi za Simba
Na ndiye anayeweza fanya makubwa kwa mkupuo mmojaYanga yenyewe ndio mara ya kwanza kugusa makundi ya CAF baada ya miaka nenda rudi .
Lakini mlikutana shirikisho mbona ulishindwa kumfunga?Huyo timu ndogo Algers kamfunga bwana wako uliekufa kiume
Simba mashindano gani Kati championship au confederation. Alifika angalau nusu fainali tu, huku kwenye fainali Ni mbali, Nusu tuHeading inazungumzia CAF
Lini mara ya mwisho Yanga alifika robo fainali kwenye mashindano ya CAF Champions League kama Simba?
Hayo ndio mashindano makubwa hapa Africa
Nyie mlicheza fainali ya CAF Confederation Cup ambayo ni mashindano madogo ukilinganisha na CAF Champions league
Kimataifa Yanga bado sana kuzifikia rekodi za Simba
Mkuu uliangalia mechi zote mbili??Lakini mlikutana shirikisho mbona ulishindwa kumfunga?
Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?
Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.
Ya mwaka jana tuachane nayoUngesema yanga kaingia fainali baada ya miaka mingi.. huo msimu wa kwanza unapimaje.. hata ipite miaka miamoja kama kitu kikija kufanyika tena huwez kuanza kukiita cha kwanza.. tanzania mwaka 2020 ingechukua kombe la Africa tusingesema kwa Mara ya kwanza imeingia na kuchukua kombe ila tungesema ikiwa ni mara ya pili kushiriki afcon wamechukua kombe kwa mara ya kwanza.. maana tanzania alishiriki afcon 1980
So udhaifu wa Simba na wa Yanga Sawa tu maana Simba hajavuka Robo ila
Hiyo 25yrs yanga sio kuwa alikuwa hapat nafasi ya kushirikia CAF league alikuwa anapata ila
Alikuwa anafeli so kitendo cha kuweza
Kufika Fainall kisimfanye eti yeye mpya mashindanoni