Yanga wana utoto sana kwenye jezi zao

Jezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025”

Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio jezi nzuri.View attachment 3451448
Kinachonishangaza ni hiki;
1. Umesema jezi siyo nsuri, sawa
2. Umesema wameweka hiyo tarehe ya MSEPO ili mashabiki wa Yanga wanunue, sawa

SASAAAAAA...!!!
1. Jezi za Yanga wewe zinakuuma nini..????
2. Waliolengwa kuzinunua jezi hizo ni wana Yanga, wewe usiye mwana Yanga unaumia kwanini??
 
Shemegi tuma lipa namba upate hata kisungura hapo 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…