Bado hujasema....Jezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025”
Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio jezi nzuri.View attachment 3451448
Mkikua mtaachaHuo mjadala utakusaidia kurudisha zile goli mbili..!!??? Nyie mlisepa bhaaasiii...!!!
Tarehe imewauma sana...!! Hii inaonyesha NIA imefanikiwa, KUWAKERAAAA...!!Mkikua mtaacha
Klabu inayoongozwa na kina Mzee Mpili na wale makomandoo haiwezi kuwa na akili timamu.Jezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025”
Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio jezi nzuri.View attachment 3451448
AahaaaaaJezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025”
Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio jezi nzuri.View attachment 3451448
Hii timu inaingozwa na mazwazwa, mijitu mijingaJezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025”
Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio jezi nzuri.View attachment 3451448
ACHA MAHABA HAMNA JEZI HUMO.wenzio wenye akili wameshashtukaTarehe imewauma sana...!! Hii inaonyesha NIA imefanikiwa, KUWAKERAAAA...!!
Nilishasema, ID yako inasababisha niyaamini mawazo yangu juu yako..!!ACHA MAHABA HAMNA JEZI HUMO.wenzio wenye akili wameshashtuka
Hayaa.ila ukweli ndo huo hapo mmepigwaNilishasema, ID yako inasababisha niyaamini mawazo yangu juu yako..!!
Hakuna mipasho hapo
Hiyo ni jezi au ujinga..!!??? Ambaruti FCHakuna mipasho hapo
Hauwezi kufananisha na hyo mipasho.Hiyo ni jezi au ujinga..!!??? Ambaruti FC
HATUNUNUI😎.
hivi injinia ni kabila gani isije akawa mzaramo wa msanga ngongere
Eti mbunifu kutoka italia🤣🤣🤣duuuh hii nchi ngumu sanaView attachment 3451728
Kanunue haya matambala