Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Shukrani sana πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
🀣🀣🀣 ujue inabidi saa nyingine tuungane ili kuepusha huu ukiritimba mana ilipofikia hao tiefuefu wanajiona wako juu ya kila kitu.

Wanasahau mechi ya Simba na Yanga ni mechi kubwa.

Hahahaaa. Salamu zimefika nao wanakusalimu.
 
Kanuni zinasemaje? Kama onatokea jambo kma hili tuache siasa ktk fani hasa michezo
 
yanga wapo sahihi huu ujinga wa masaliya ya jiwe yatatutesa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…