mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hawajiamini, chezea simba wewe?
Hivi una uelewa kweli wewe?
Umejua sababu ya Yanga kugomea mechi kweli?
Tuendelee kuvunja sio?kuishi kwa shemeji akili yote inayeyukakwani kuna Sheria ngapi zimevunja hapa Tanzania?
Au mmeona hii Tu?
Tatizo ni kwamba uongozi waliopo Simba wanajali mashahi ya chama kuliko kuhoji ufataji wa sheria na taratibu. Usitegemee kuona wanatoa msimamo juu ya hili tukio. Uccm unawasumbuaSimba mna msemaji wa hovyo sana, naona huko fb anasema hata kama TFF watasema mechi ichezwe saa nane usiju wao wapo tayari kwa sababu wanaheshimu mamlaka.
Eeeh sio kuogopa game kama hizi inabidi mtu afungwe bila kisingizio
Tuendelee kuvunja sio?kuishi kwa shemeji akili yote inayeyuka
Hata kama kuna mtu alipaswa kuwepo anaweza kuja huku mechi ikiendelea!!!Hii si amri ya TFF ni wizara ya habari na michezo. Kuna siasa zinapenya hapa na hazikutumika busara. Kama kuna mtu inabidi awepo kwa maamuzi ya ghafla si wangeongea na timu zote tu. TFF wametii mamlaka kwa mujibu wa barua yao kujivua lawama.
Huna point mkuutimu ya kuunga unga utaijua Tu
HUU NI UTOVU WA NIDHAMU
Mashabiki walivamia sio kwamba walikuwepo kuangalia mechi . Au hujui kama nyingi barani Ulaya haziruhusu mashabiki kwasasaUlisema hakukuwapo mashabiki, usihamishe magoli
Haoo wanatoa timu wanasepa zaoView attachment 1777689
Dooh!Sema ingekua aibu
Tanga kunani bibieDooh!
Tuambie ni mechi gani nyingine iliyosogezwa mbele ikibakia masaa mawili tu mechi kuanza.