Tff Ni wapumbavu unapokea taharifa ya kisiasa unaleta uwanjani?. Kwa sababu wanataka watu wamsikilize mama. Huu ni Upumbavu kutoka kwa wapumbavuHii si amri ya TFF ni wizara ya habari na michezo. Kuna siasa zinapenya hapa na hazikutumika busara. Kama kuna mtu inabidi awepo kwa maamuzi ya ghafla si wangeongea na timu zote tu. TFF wametii mamlaka kwa mujibu wa barua yao kujivua lawama.
Kanuni braza, ndio maana klabu zikivunja sheria zinaadhibiwa! Wakubwa nao wajifunze kufuata sheria!Kwani kutoka saa 11 kwenda saa 1 usiku.
Nini kimeharibika?.
Kwani hii NI mechi ya Kwanza kuchezwa saa 1 usiku.?
Huna point mkuu
Wapewe tu, lakini sisi hatutakagi ujinga ujinga message sentSimba wanapewa point 3 kilaini.
Sababu ilikuwa ya maana kuliko upuuzi wa kumsikiliza mwanasiasaManchester United na liverpool
we unazan kila anayepinga kusogezwa mbele ni yanga siokama unajiamini na timu yako suala la MUDA sio KIKWAZO.
Hamna cha woga. Inabidi siku moja moja tusimamie tunapoamini ili isijirudie hii.Woga huo
Kanuni braza, ndio maana klabu zikivunja sheria zinaadhibiwa! Wakubwa nao wajifunze kufuata sheria!
[emoji23][emoji23][emoji23] in Magu's voiceHongera sana yanga kwa maamuzi ya busara na kishujaa. Tumechezewa sana hiiiiiii
Hukuona juzi man u vs liver? Sababu za msingi zilipojitokeza game ikasogezwa mbele hali ilivyokuwa mbaya zaidi game ikafutwa. Sio huku sababu za kipuuzi tuSababu za msingi NI zipi labda?
we unazan kila anayepinga kusogezwa mbele ni yanga sio
Mi Simba pia.. tuko pamoja.Mimi mwana simba lakini kwa Hili Yanga nimewapenda sana.. Hao Tff na Serikali watajifunza kitu
Hukuona juzi man u vs liver? Sababu za msingi zilipojitokeza game ikasogezwa mbele hali ilivyokuwa mbaya zaidi game ikafutwa. Sio huku sababu za kipuuzi tu
Tuko vizuri. π π π
Haji ni CCM ukiacha yeye kuwa msemaji wa team yetu ndio maana sishangai alichokiandikaSimba mna msemaji wa hovyo sana, naona huko fb anasema hata kama TFF watasema mechi ichezwe saa nane usiju wao wapo tayari kwa sababu wanaheshimu mamlaka.
Sababu ilikuwa ya maana kuliko upuuzi wa kumsikiliza mwanasiasa
Tuko vizuri. π π π