mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Taarifa ilitoka ndani ya muda gani mkuu? Why mabadaliko yatokee siku ya mechi tena masaa machache kabla ya muda uliopangwa? Ni dharura gani waliyopata Tff?
Serikali haitakiwi kuingilia chama cha mpira, inatakiwa kutoa sapoti tu pale inapohitajika.
Pia kama wangetuheshimu sisi mashabiki, ilibidi watuambie sababu ya kusogeza mbele ni ipi. View attachment 1778187
Ujueni rahisi kuongea ukiwa nje ya uhusika kama ambavyo tunafanya mimi na ww hapa. Ila chukulia mfano umepewa appointment ya kukutana mtu eneo fulani , let say saa saba mchana, wakati unajiandaa kwenda, ghafla unaambiwa mkutane saa 12 jioni. It means ww huna ratiba zako nyingine, muda wako ni kwa ajili ya hiyo appointment tu.Si hapo wameandika wenyewe.
"Itapeleka timu uwanjani muda ULIOPANGWA AWALI"
Na wao wamesema" WANAPINGA HAYO MABADILIKO"
"ITAPELEKA"
ebu soma maelekezo Yao vizuri
Serikali na mpira, wapi na wapi mkuu??Swala sio muda WA kutangazwa MABADILIKO ya muda.
Tofauti ya masaa mawili hayawezi kukuathiri chochote kama UMEJIANDAA NA MECHI
HAO waliopeleka muda mbele ndo waliopanga mechi iwe saa 11 na ndo waliopeleka mbele.
HYO NI SERIKALI.
Ujueni rahisi kuongea ukiwa nje ya uhusika kama ambavyo tunafanya mimi na ww hapa. Ila chukulia mfano umepewa appointment ya kukutana mtu eneo fulani , let say saa saba mchana, wakati unajiandaa kwenda, ghafla unaambiwa mkutane saa 12 jioni. It means ww huna ratiba zako nyingine, muda wako ni kwa ajili ya hiyo appointment tu.
Tuache ushabiki mkuu, Tff wamezingua kwa ili, kinyume na hapo basi wawapore Yanga points 3.
Serikali na mpira, wapi na wapi mkuu??
We na we acha ubishi wa kitoto hiyo doc unayoattach mbona ina majibu kwanini hawajakubaliana na TFF?Si hapo wameandika wenyewe.
"Itapeleka timu uwanjani muda ULIOPANGWA AWALI"
Na wao wamesema" WANAPINGA HAYO MABADILIKO"
"ITAPELEKA"
ebu soma maelekezo Yao vizuri
Tunaposema serikali haitakiwi kuingilia mpira nadhan unashindwa kuelewa huwa inamaanisha nini. Kazi ya wizara ni kusimamia na kuendesha sekta husika ambazo ni Sanaa, Utamadunu na Michezo, ila kazi ya Tff ni kuratibu na kuendesha kitengo husika ambacho ni Mpira wa miguu.Hyo KAULI kuwa serikali haipaswi kuingilia chama cha mpira.
UWA MNAJIDANGANYA.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
basi Kwa taarifa yenu kama hamjui.
Serikali inahusika pale TFF KWA [emoji817].
ndo maana kuna wizara ya michezo.
Inachoongea wizara .TFF HAWAWEZI KUPINGA.
ACHENI KUJIDANGANYA.
Serikali kutaka kurun kila kitu, ndio maana Tz tunafeli sehemu nyingi sana tofautisha na nchi za wenzetu.Kwani TFF inaongozwa na nani?.
Nimegundua watanzania uwa mnadanganyana Sana.
Serikali inahusika pale TFF KWA [emoji817].
msiwe mnadanganyana
Sababu ni ipi ya kutoa order hiyo? Watu wametoa hela zao kuingia uwanjani, wamesafiri hadi kufika pale. Unapotoa mabadiliko, wape na sababu. Sababu unayoijua wewe ni ipi mkuu?Umeshaambiwa serikali ndio imesogeza mbele muda.
WEWE NANI UGOME?.
UMEJIANDAA Kwa mechi INGIA UCHEZE USITAFUTE SABABU
View attachment 1777519
View attachment 1777520
My Take
Kama TFF haikushirikisha timu zote ni wapumbavu wa kudumu. Kwa nini walipanga mechi saa 11 wakijua kuna changamoto
Updates
View attachment 1777682Yanga wamepasha wamesepa. Hawa wizara na TFF wamewatafutia sababu Utopolo
Unasogeza tu kama kusogeza nyoka ateleze pangoni. Kwanini kanuni ziliwekwa kwenye maandishi?Umeshaambiwa serikali ndio imesogeza mbele muda.
WEWE NANI UGOME?.
UMEJIANDAA Kwa mechi INGIA UCHEZE USITAFUTE SABABU
Sababu ni ipi ya kutoa order hiyo? Watu wametoa hela zao kuingia uwanjani, wamesafiri hadi kufika pale. Unapotoa mabadiliko, wape na sababu. Sababu unayoijua wewe ni ipi mkuu?
Tatizo na wa kulaumiwa hapa ni Uongozi wa Yanga. Hao watu waliolipa, waliosafiri nk hawakuwa na tatizo kusubiri hayo masaa mawili tu bila hata kupewa sababu.Sababu ni ipi ya kutoa order hiyo? Watu wametoa hela zao kuingia uwanjani, wamesafiri hadi kufika pale. Unapotoa mabadiliko, wape na sababu. Sababu unayoijua wewe ni ipi mkuu?
Unasogeza tu kama kusogeza nyoka ateleze pangoni. Kwanini kanuni ziliwekwa kwenye maandishi?
Na ukiangalia hakuna sababu iliyotolewa, labda kama sijui kusoma. Kuna watu wamesafiri toka mikoa ya pembezoni na ncho jirani wakijua ratiba iliyopo. Watu wameingia uwanjani wewe unasogeza muda wa mchezo mbele.
Hizi ni akili mbovu sijawahi kusikia kwenye mchezo wa mpira wa mpira wa miguu.
Tatizo na wa kulaumiwa hapa ni Uongozi wa Yanga. Hao watu waliolipa, waliosafiri nk hawakuwa na tatizo kusubiri hayo masaa mawili tu bila hata kupewa sababu.
Serikali kutaka kurun kila kitu, ndio maana Tz tunafeli sehemu nyingi sana tofautisha na nchi za wenzetu.
Nipe sababu ya serikali kutaka mechi ibadilishwe muda siku ya jana.
We na we acha ubishi wa kitoto hiyo doc unayoattach mbona ina majibu kwanini hawajakubaliana na TFF?
Au hata mpira hufuatilii?
Kwa kanuni za FIFA hapo Yanga inabidi wapewe points tatu na magoli matatu kwakua alifika uwanjani na mpinzani hakufika kwa dakika 30 tangu mechi ilipotakiwa kuanza.
Tunaposema serikali haitakiwi kuingilia mpira nadhan unashindwa kuelewa huwa inamaanisha nini. Kazi ya wizara ni kusimamia na kuendesha sekta husika ambazo ni Sanaa, Utamadunu na Michezo, ila kazi ya Tff ni kuratibu na kuendesha kitengo husika ambacho ni Mpira wa miguu.
Ratiba za mpira hupangwa na Tff kwa kushirikiana na bodi ya ligi. Serikali itaingilia kati endapo kutakuwa na emergence inayohusu usalama wa raia na mali zao, ila kinyume na hapo haiwezi kuingilia. Ilipotokea issue ya korona, serikali ikasimamisha mashindano. Ila kwa issue ya jana kama serikali imeingilia, watoe na sababu ya kufanya hivyo, sio kutoa order.