mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Simba sauti ipo kwa MO na Mo ni mwanaccm kindaki ndaki hawezi kwenda kinyume na serikali. Acheni kuamini uchawi mtapelekeshwa vibaya
Nionavyo Timu ya Wananchi isimamie hii kauli ya kwenye barua wasitishie nyau ili hao TFF wajifunze kitu.
Pesa zao utawarudishia?Man u na liverpool ilihairishwa sababu ya mashabiki kuingia uwanjani na kufanya fujo,hapo walivamia hawakulipa kiingilio. NB ligi za ulaya bado hazijaruhusu mashabiki uwanjani sababu ya corona
Simba na Yanga imepelekwa mbele ghafla sababu isiyojulikana tena bila taarifa za mapema kama mnataka waige man u vs liverpool basi wahairishe mechi na sio kutesa watu uwanjani toka asubuh.
Pesa zao utawarudishia?
Kwani kutoka saa 11 kwenda saa 1 usiku.
Nini kimeharibika?.
Kwani hii NI mechi ya Kwanza kuchezwa saa 1 usiku.?
Nina wasiwasi kuna wakubwa wapo kwenye issue ya mzee Ruksa ndio waliotoa agizo [emoji6]Hapo ndipo TFF walipoonyesha udhaifu kwa hiyo wanyewe walishindwa kuchakata taarifa na kutoa sababu konki zilizofanya mechi ipangwe saa 11 awali? Kwa hiyo wanatawaliwa na wana siasa?
Utaratibu, sheria na kanuni za ligi vinasemaje?mpira NI ule ule tofauti masaa Tu.
msitafute sababu