Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Alige simu kwa agent wake afute Safari, hatopoteza pesa zote hizo
 
Safi sana hii Serikali ijifunze kuviheshimu vilabu ya michezo na hasa mpira wa miguu na si KUKURUPUKA tu na kuviburuza watakavyo. Kwani hicho kitabu cha Mzee RUKHSA kisingeweza kuzinnduliwa jana au Jumatatu?
mipango ya mechi ipo May inaanza why hawakuona hili. kibinaadam wangefanya hata juzi. mjinga mmoja anaitia nchi kwenye aibu kubwa
 
kajitakia mwenyewe.TV ZIPO
 
Serikali kuvunja Sheria kanuni n.k
Ndo zao.sio Jambo geni Hilo
Kikubwa tulieni muda ufike mcheze.
Kama ipo ipo Tu.
ILA kama ya mganga NI SAA 11 hapo lawama Kwa TFF
Utaratibu ukoje?
Je serikali imepata wapi uhalali wa kuingilia Uhuru wa soka?
 
Lakini Hilo Jambo sio geni .
Kwanini yanga mnalalamika?.
kwani haya mabadiliko Simba hayawahusu?.
Mnachoogopa NI nini?
Ratiba na makubaliano ya wachezaji na timu yao. Tatizo wabongo tunachukulia mambo kirahisi ndo maana mpira wetu umedumaa

Tatizo sio mechi kuchezwa usiku tatizo hawakuwaambia mapema maandalizi muhimu
 
Madhara ya Spika wa Bunge kuvunja katiba yanaleta impact mpaka kwenye mambo mengine! TFF wameona hamna haja ya kuheshimu kanuni maana watu wanavunja Katiba na halifanyiki lolote! Tusubiri kwenye mambo mengine itakua hivi hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…