Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na haya ndio madhara yakeSafi sana,sheria zifuatwe.
Itachukua muda kuheshimu sheria mbalimbali zilizowekwa maana yule shujaa alivuruga taratibu zote na sheria.
Kwan tff wamekwambia sababu ni kufunga kwa wachezaj?Ata me nasapoti hii kitu... Muda mwingine kuna upumbavu unaendelea hauna ata faida wachezaji waliofunga ni wa simba na yanga tuu wengine hawajafunga kwel...
Wanachezaji wa Yanga wapo uwanjani wanapasha misuli tayari kwa mechiMliopo uwanjani tupeni update
na ndo maana kwa kujua yote hayo timu ya yanga inaona tff wamekosea,,,Kumbuka muda wa mwisho kuingia uwanjani iliwekwa saa kumi jioni.
Hivyo mpaka muda huo watu zaidi ya elfu 40 wawepo uwanjani. Mechi kama ndivyo imepelekwa mbele ina maana watu watakaa uwanjani muda mrefu sana.
Muda wa kuisha mpira mpaka kurejea majumbani itakuwaje?
Fikiria pande zote kabla hujahukumu mkuu
Mzimu wa kayafa utatutesa sanaNchi inaoongozwa kwa matamko ya mtu mmoja.Mtu mweusi huwa anafikiri kuwa akishakuwa Rais basi yupo juu ya sheria zote!
kwa hili nipo pamoja na Yanga,taratibu ziheshikiweNaunga mkono hoja
Mimi ni mshabiki wa Simba ila kwa hili nawaunga mkono Yanga.Yanga ingieni uwanjani saa 11, Kisha msubili kwa muda wa dk 30 Kisha ondokeni uwanjani, ili wajinga wajinga wakome.
Mpira sio mapenzi.Yanga wanatafuta upenyo wa kukimbia kabla hatujawabebesha mimba [emoji3064][emoji3064]
Wamekula nauli yetu lazima tulale nao mbele ikifika saa moja
Yule mwalimu wa Paraisso alisemeView attachment 1777519
View attachment 1777520
My Take
Kama TFF haikushirikisha timu zote ni wapumbavu wa kudumu. Kwa nini walipanga mechi saa 11 wakijua kuna changamoto