Unknown philosopher
Member
- Sep 3, 2022
- 40
- 90
Mkuu hata kuongea ni makosa? Daaah hii nchi hii[emoji119][emoji119]Mkuu. Kama vipi tafuta pesa za kutosha, ili uwekeze wewe.
Mpira ni biashara ila sio kila mara utapatia.
WachinaNipo nje ya mada,hawa HAIER ni kampuni ya wapi? huwa naona friji zao majumbani mwa watu,ubora wake upoje na kama kuna link ya kuona frji zao naomba.
Mkuu we unaona sawa Mo Xtra atoe mil 150 Kwa Mwaka wakati Hawa Haier wanatoa bil 1.5 Kwa mechi chache tu za caf confederation cup??Mna comment na kujijibu mwenyewe!! Kweli wenye akili ni wawili tu.
Doooh kumbe,electronics za china mie hapana kwa kweli.Wachina
Weka ushahidi izo fedha zitaenda GSM, vinginevyo itakuwa ni Wivu tu unaokusumbuaHakuna cha viongozi makini hyo hela yote inaenda Kwa GSM , nyie mnabak kupayuka Tu mitandaoni
Akili haunaHakuna cha viongozi makini hyo hela yote inaenda Kwa GSM , nyie mnabak kupayuka Tu mitandaoni
Naenda kununua duka lilipo salamander tower huwa hakuna bugudha hata zile za msimu huu nilinunua hapo fresh kabisaπΊπππππ πππππ ππππ π΅ππππ ππππππππππππ ππππ π«πππ ππ πππππ π±πππππππ.. (π°πππππ π πππππ πππππ)
πΎππππππππ πππ ππππππππππππ, πππππππππ πππ πππππ ππππππππππ πππππππ π³πππ, ππππ πππππ πππ ππ ππππππ ππππ π..πππππ ππ πππππ
Iko vyediiiiiAway Kit for CAF CCView attachment 2500695
πΆπππ πππ ππππ π΅ππππππππ ππππππππ ππ ππππ π«πππππ πππππ πππππ πππππNaenda kununua duka lilipo salamander tower huwa hakuna bugudha hata zile za msimu huu nilinunua hapo fresh kabisa
Kabisaaaa hata mie hii ya kijani naona iko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]jezi ni nzuri haipingwi hiyo,
mi binafsi nimevutiwa na hiyo ya katikati 'kijani',, ni uzi mkali sana
umeona eeh.Kabisaaaa hata mie hii ya kijani naona iko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hapaa wametishaa aseeeh
Manyokanyoka kazi yao ni kugongagongaManyokanyoka [emoji706]