Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

Usiishie kuweka matokeo hayo, nenda mbele kwa kueleza ni nani alisonga mbele kuingia robo fainali kati ya AS Vita na Simba (pamoja na Vita kushinda kwa magoli lukuki). Tunajua Al Ahly na Simba sote tulisonga mbele, so it was a win-win situation. Haya wewe mboga mboga ambaye hukufungwa uliishia wapi?
 
Hongera Utopolo kwa kupokea mshiko ila wasiwasi wangu ni aibu watakayovuna hao Haier kwa kipigo cha hao Utopolo. Badala ya Nembo litatangulia jina Uto
Kwanini hii kampuni ya Haier wasiingie mkataba na Simba?
Tuache roho ya korosho, hii ni hatua nzuri kwa klabu zetu kuja kupata dili za namna hii.
 
Kule club bingwa ilikuaje joo
 
Hapa tunazungumzia kiwango cha uchangiaji ama mkataba wa Yanga na ule wa Visit Tanzania?

Be informed, mimi ni Mwanachama hai wa Simba. Nina jezi zote original.
Uwanjani naenda pale inapobidi. Michango ya Ujenzi nimechangia.


Ulitaka kusemaje?
Visit tz ilikua ni ombi au agizo la ikulu, unaweza kuibishia ikulu? Serikali inatambua potential ya simba sio utopolo.
 
Kweli mwenye nguvu mpishe, yaani gsm amelazimisha nyeusi kuwa rangi rasmi ya yanga nyumbani na sionjano tena
Sio nyeusi io, ila wamezingua hakukua na ulazima wa kufanya hivyo maana kila kitu wamekifanya poa sehemu ndogo kama io haikua na ulazima, labda wana malengo ya mbali zaidi ambayo sisi hatuyaoni ngoja tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…