Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

Kwani ticket za mchezo ziliiuzwa Kwa kigezo cha kuwa na jersey ya Simba?

Huyo ni shabiki alilipia kiingilio chake

Shabiki kazi yake ni kushangilia na kuzomea
 
Bora umezikata umemuokoa na magonjwa ya pombe😂😂😂😂
Washabiki wa yanga hamnazo juzi bi mkubwa wangu anapigia simu sanane za usiku tena video call eti anazomea atujabeba , nimekata kwa hasira na huduma ya bia mbili kila siku zilizokuwa nimemwekea oda pale kwa mangi nimezikata ,ubwaya ubwela.
 
Akili za mitanzania kama za mibunge yao bungeni.
 
Baba mzima hauwezi kuiweka familia yako katika hali ya hatari kwa kukosa common sense tu. Endeleeni kujitoa ufahamu.
Kwani uwanjani ni porini aogope faru
Yaani mtu kufika uwanjani kushangilia timu anayoitaka iwe hatari?
 
Kwani uwanjani ni porini aogope faru
Yaani mtu kufika uwanjani kushangilia timu anayoitaka iwe hatari?
Wakati mwingine tumia common sense bandugu, itakusaidia sana.

Wakati ule shamba la bibi, watu kama nyie mnarushwa kutokea mlipo, utakapoangukia wanakupokea wengine nao wanakurusha tena zaidi. Utakapofikia utaamua mwenyewe ukae hapo au urudi nyumbani.
 
Baba mzima hauwezi kuiweka familia yako katika hali ya hatari kwa kukosa common sense tu. Endeleeni kujitoa ufahamu.
Huo ni unyani wa mtanzania mnaacha kupiga majitu ya serikalini yanayokula pesa mnapiga shabiki wa mpira mwenzenu hiyo sio akili ni mavi yamejaa kichwani eti kisa kavaa jezi ya timu msiyoitaka
 
Uadui wote huo wa nini?
Watu wote hawawezi kuwa Simba au Yanga?
laZima haya yawepo na mashabiki wafunzwe kupokea upinzani.
Kwenye maisha mitazamo hupinzana heshimu mawazo na mapenzi ya mwingine.
Huyu kama amekuja kuzomea wewe shangilia, huo ndo uanamichezo
Mpo kama CCM unatamani wapinzani wafe kibaki Chama kimoja
 
Uk
Kwani uwanjani ni porini aogope faru
Yaani mtu kufika uwanjani kushangilia timu anayoitaka iwe hatari?
Ukiwa na familia jitahd kukaa VIP changanyiekeni syo rafiki kwakua kunakumwagiana maj matussi yasiyo na kipimo kwahyo kukaa na watoto na mkke changanyiken nikutojielewa.tunasema lolote likupate
 
Endeleeni kujazana ujinga badala ya kufundishana common sense.
 
Uk

Ukiwa na familia jitahd kukaa VIP changanyiekeni syo rafiki kwakua kunakumwagiana maj matussi yasiyo na kipimo kwahyo kukaa na watoto na mkke changanyiken nikutojielewa.tunasema lolote likupate
Wewe unajua kipato cha huyo bwana
 
Wewe unajua kipato cha huyo bwana
Sjazungumzia kipato nimezungumzia kuilinda familia yako hayo yakipato umeleta wewe kama kwahyo unathan kwa hyo aibu aliyoipata mkewake atahamasika tena kwenda uwanjanj naukute wakat wanampiga walikua wanatoa matusi yanguon kama kawaida ya mashabik sasa ata asngepigwa matusi tuu mbeleyako ukiwa na familia syo powa siungi mkono kupigwa kwa shabiki ila siungi mkono shabik wakipuuzi unaenda kuhatarisha watotowako kwa ulimbiken ndo nkasema kama unahs kwenda nafamilia nenda kakae vip kunausalama zaid.kipato kama knagoma waache hom viwanja vyetu na mashabiki syo rafk kwa watoto nafamilia.mwenye skio askie asyeelewa aendelee kupeleka familia likikuta jamba shauriyako
 
Aisee we bidada unaweza kuua kwa jina la simba..
Unabariki kabisa ujuha wa namna hiyo, ipo siku mtu roho itamtoka.

Afu video ya pili jamaa alikua na watoto, majuha ya simba hayakujali kidogo yamshishie kipigo.

Simba na Yanga inafanya watu wanakua marofa kabisa.
 
Kwanini wampige shabiki aliyelipa kiingilio amekaa anaitazama Burudani, hajatukana mtu, ameketi na familia yake
Hakuwazuia kushangilia timu Yao
Kwanini wamdhalilishe na kumpiga
Mtu amelipia ticket yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…