Na uwanjani walibughudhiwa piaUnaanza story za kusadikika. Eti wamevamiwa!
Kwa hiyo wavamiwe airport na hotelini ila uwanjani wasibughudhiwe ila mashabiki wa uto waliojipeleka katika shughuli isiyowahusu?
Unatengeneza story ili kubalance story ya hawa vingunguti wenzenu. Sijaziona wala kuzisikia hizo video na hawakutolewa majukwaani kama hawa wa uto ambao wamevamia shughuli siyo yao.Na uwanjani walibughudhiwa pia
Mbona video zimeenea
Bwana wee siwezi kukuaa usiogope...Aisee we bidada unaweza kuua kwa jina la simba..
Unabariki kabisa ujuha wa namna hiyo, ipo siku mtu roho itamtoka.
Afu video ya pili jamaa alikua na watoto, majuha ya simba hayakujali kidogo yamshishie kipigo.
Simba na Yanga inafanya watu wanakua marofa kabisa.
Walivamia vipi watu wamelipa viungilio, akaingia na ticket yake halaliSijaziona wala kuzisikia na hawakutolewa majukwaani kama hawa wa uto ambao wamevamia shughuli siyo yao
Elewa mkuu lile nikunyanyiko la watu na tabia mbal mbali kuchukua tahathiri nijukum lako usisubiri likukute pale wengne wanakuja washakunywa visungura mix bange unategemea hekima kutoka kwawatuhaoo?Kwanini wampige shabiki aliyelipa kiingilio amekaa anaitazama Burudani, hajatukana mtu, ameketi na familia yake
Hakuwazuia kushangilia timu Yao
Kwanini wamdhalilishe na kumpiga
Mtu amelipia ticket yake
Tulia mbumbumbuBwana wee siwezi kukuaa usiogope...
Mbona hupendi niongee zuzu jamani au umenimiss....Tulia mbumbumbu
Ulitaka achukue tahadhari Gani aingie na bunduki au kisuElewa mkuu lile nikunyanyiko la watu na tabia mbal mbali kuchukua tahathiri nijukum lako usisubiri likukute pale wengne wanakuja washakunywa visungura mix bange unategemea hekima kutoka kwawatuhaoo?
Mbumbumbu utaongea nini zaidi ya pumbaMbona hupendi niongee zuzu jamani au umenimiss....
Sawa. Na wewe siku mnacheza na waarabu huko kwao, vaa kajezi kako ka gsm halafu nenda kakae na wale mashabiki wao wanaoitwa ultra. Wakitaka kukufanya chochote, waonyeshe huo waraka watanywea wenyewe.Walivamia vipi watu wamelipa viungilio, akaingia na ticket yake halali
Kwanini umvamie mtu
Uarabuni watu wameenda na wamerudi salamaSawa. Na wewe siku mnacheza na waarabu huko kwao, vaa kajezi kako ka gsm halafu nenda kakae na wale mashabiki wao wanaoitwa ultra. Wakitaka kukufanya chochote, waonyeshe huo waraka watanywea wenyewe.
Ila hamkujichanganya jukwaa moja na mwenyeji halafu hapa mnaleta mazoeaUarabuni watu wameenda na wamerudi salama
Namlaan alie fanya fujo namlaani pia nayeye kwa kuhatarisha usalama wa familia yake nikiunganisha na post ya mdau #68 uirudie kuisoma kwa makinUlitaka achukue tahadhari Gani aingie na bunduki au kisu
Alikuwa uwanjani kihalali alilipa viingilio akaenda kutazama mpira kama wale waliompiga walivolipa
Badala ulaani waliompiga msamalia mwema wewe unalalamika ati kwanini hajaenda
Yanga ndo waasisi kipind tunakemea mlikuwa mnaona watu wajingaInasikitisha sana uadui wanaotaka kuuanzisha simba siku yakiwakuta tusisikie kelele humu.
Watu wanajitoa akili kutetea ule udhalilishaji tena mtu yupo na watoto wake na mke hapo hapo wanapiga kama kawaibia.
Ipo siku kitawaramba. Karma huwa haikosei address
Yanga ndo waasisi kipind tunakemea mlikuwa mnaona watu wajinga
Ulienda umevaa jez ya wydad? Au Yanga ?Uarabuni watu wameenda na wamerudi salama
sisi kama mashabiki tumeumia sana hiyo 15th june chezeni ili mtulipie kisasi uwanjani ili turidhike kolo apigwe 5 au 7Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo, klabu hiyo imeomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika na imetoa pole kwa mashabiki walioathirika.
Vilevile, Yanga imewasihi mashabiki wake kuendelea kudumisha ustaarabu, kutolipiza kisasi, na kuendeleza mazingira ya amani na mshikamano katika viwanja vya soka.
Brain storage is 2% , kwahiyo bila ushaidi Yanga walifanya vzr kuanza hz tabia ?Ushahidi uko wapi? Mlikemea wapi?
Brain storage is 2% , kwahiyo bila ushaidi Yanga walifanya vzr kuanza hz tabia ?
Bado mechi zipoIla hamkujichanganya jukwaa moja na mwenyeji halafu hapa mnaleta mazoea