Yanga yashikilia msimamo wake wa kutocheza derby ya Kariakoo 15/6/2025

Haina maana mtajua wenyewe ,no reforms no election
 
Mimi mwenyewe nipo pamoja na nyie hakikisheni mnasimamia huo msimamo mpaka mwisho.

Sisi tunataka kuona hizo point zetu 3 za tarehe 15 tunazipata katika mazingira gani.

Je hayo magoli matatu atapewa yote Ahoua au atapewa nani?
aliye na vyingi ataongezewa vingi
 
No Reform no Election imeeleweka vema
 
Mimi mwenyewe nipo pamoja na nyie hakikisheni mnasimamia huo msimamo mpaka mwisho.

Sisi tunataka kuona hizo point zetu 3 za tarehe 15 tunazipata katika mazingira gani.

Je hayo magoli matatu atapewa yote Ahoua au atapewa nani?
Nyie mlivyokataa kucheza mbona hamkunyanganywa point?
 
Watu tunawaza no reform no election hayo mengine ni mbwembwe tu
 
Mimi mwenyewe nipo pamoja na nyie hakikisheni mnasimamia huo msimamo mpaka mwisho.

Sisi tunataka kuona hizo point zetu 3 za tarehe 15 tunazipata katika mazingira gani.

Je hayo magoli matatu atapewa yote Ahoua au atapewa nani?
Kwamba ndani ya dakika 90 msha kata tamaa
 
Yanga shikilieni hapo hapo tunataka tuone iwapo mkinyang'anywa point mtachukua hatua zipi kudhihirisha ukubwa wenu. Nyinyi wakubwa mno, inawezekana hata msinyang'anywe hizo point maana mnaogopwa mno.
Wasipokaa vzr simba hamtashiriki kabisa michezo ya kimataifa

Yanga akiamua kwenda mahakamani virabu na timu za Tanzania zinasimamishwa michuano ya kimataifa

Yaani ukigusa ndiyo utajua

Unafikiri ni kwa nn wanawataka Yanga yaishe
 
Acha, Ni kwamba wanaona huruma tu, hawa jamaa wakiamua jambo lao hawashindwi. Hata CAS na CAF wapo kwenye hatari kubwa. FIFA wawe makini. Sembuse kibodi cha ligi, kiTFF? Ngoja tuone, lazima wanyooshwe.
 
Kweli inaonyeshs Utopolo wanaogopa utatu wa Mpanzu, Budo na Kibu,?!
 
Reactions: Tui
Mimi mwenyewe nipo pamoja na nyie hakikisheni mnasimamia huo msimamo mpaka mwisho.

Sisi tunataka kuona hizo point zetu 3 za tarehe 15 tunazipata katika mazingira gani.

Je hayo magoli matatu atapewa yote Ahoua au atapewa nani?
kimoyo moyo una furahi ila yanga wakisema wanaleta timu unanyong'ony'ea
 
Wasipokaa vzr simba hamtashiriki kabisa michezo ya kimataifa

Yanga akiamua kwenda mahakamani virabu na timu za Tanzania zinasimamishwa michuano ya kimataifa

Yaani ukigusa ndiyo utajua

Unafikiri ni kwa nn wanawataka Yanga yaishe

Hakuna kitu Kama icho.....!

Nendeni Mahakamani muone jinsi Rungu La FIFA Litakavyowaangukia 'nyie kama nyie'..!

Yaani aende Mahakamani Yanga halafu adhabu ipewe TFF ? Uliona wapi?

Huu ndo mwaka Wa Msongo Wa Mawazo mpaka mpasuke kwa stress..!
 
Ni mashabik wa simba tu mpaka sasa kwa wingi wame comment πŸ˜‚.
Roho zinawadundaaa!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yanga shikilieni hapo hapo tunataka tuone iwapo mkinyang'anywa point mtachukua hatua zipi kudhihirisha ukubwa wenu. Nyinyi wakubwa mno, inawezekana hata msinyang'anywe hizo point maana mnaogopwa mno.
Kabisaaa...Ngoja tuone
 
Reactions: Tsh
kimoyo moyo una furahi ila yanga wakisema wanaleta timu unanyong'ony'ea
Timu yenye confidence na uhakika wa kushinda isingeweza kugomea mechi.

Kugomea mechi kumetokana na tafakuri ya kina walioifanya na kuona hakuna mazingira yeyote wanayoyaona kwa wao kuweza kushinda mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…