Yanga yashikilia msimamo wake wa kutocheza derby ya Kariakoo 15/6/2025

October TUNATIKI ✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅✅✅
 
Reactions: Tui
Siasa za Tanzania ni kubwa kuliko Simba na yanga kwa hiyo upo uwezekano wanasiasa wanatia mkono wao kwenye hili sakata la derby ili kupoozesha hali ya kisiasa ya mashinikizo yanayowakabili watawala.
sisiemu watataka hii mechi ichezwe siku ya kesi ya Lisu
 
Tujikumbushe
 

Attachments

  • Facebook Video _y1141880924330857_1746548219392.mp4
    4.4 MB
  • Facebook Video _y1141880924330857_1746548219392.mp4
    4.4 MB
Hakuna kitu Kama icho.....!

Nendeni Mahakamani muone jinsi Rungu La FIFA Litakavyowaangukia 'nyie kama nyie'..!

Yaani aende Mahakamani Yanga halafu adhabu ipewe TFF ? Uliona wapi?

Huu ndo mwaka Wa Msongo Wa Mawazo mpaka mpasuke kwa stress..!
Fumba macho utembee ujifanye kipofu
Utajua hujui
 
Mcheze, msicheze SIMBA BINGWA NBC LIGI 2024/2025
 
Hii sentensi ya mwisho kama imenitia ukakasi.. mpaka matakwa yatimizwe sio pamatafutwa mwaya wa kuja kucheza???! Mana bodi inaweza kuja hadharani tarehe 12 wakasema tumeyatimiza matakwa yenu ambayo kimsingi hayajawekwa wazi! Tutakataa kucheza?
Rudia tena ile barua ya kwanza ya Yanga, mbona matakwa yote matatu yaliandikwa mkuu?
 
Uto wanachezea sharubu za TFF, sawa wacha waendelee watanyonyolewa tu bila maji.
 
Unaandika huku unafurahi maana unajua mkitua tu ni kipigo. Hii mechi itakuwa ya funga dimba.
Kwani nyie kama nani labda wenye kujua kuwa mtaifunga Simba? Mbona kama mnajeuri hivi...yani na mechi ya mwisho mlisaidiwa na kayoko na kujifunga kwa kiijlli ila bado mna kiburi si ndio?.
 
Mi nadhani nyie ndio mliokuwa na malengo ya kukimbia mechi that's why mkaja na njama za kuwazuia wachezaji wasifanye mazoezi mkijua hiyo ndio nafasi ya nyie kujifichia.
mbona inafahamika ukinyimwa kufanya mazoezi adhabu ni nini sio kukimbia mechi
 
Derby buuuulshit....
Hii timu wanaiendekeza kipumbavu sababu Kuna wapumbavu nyuma yake , ilitakiwa bodi ifanye maamuzi makali ili iwe fundisho hata kama timu Ina wakubwa nyuma...upumbavu tu, tumesikia eti wanatoa amri kua watu kadhaa wafukuzwe kazi ama kujiuzulu kuanzia mwenyekiti bodi ya ligi Hadi katibu sijui,, ulishawahi kuona wapi ujinga wa namna hio, Ina mana Sasa na timu nyingine zijitokeze Sasa ziwaambie bodi ya ligi tunataka matakwa haya ili tucheze mechi za ligi kuu...itakua ligi ya namna Gani hio?
 
Kwani nyie kama nani labda wenye kujua kuwa mtaifunga Simba? Mbona kama mnajeuri hivi...yani na mechi ya mwisho mlisaidiwa na kayoko na kujifunga kwa kiijlli ila bado mna kiburi si ndio?.
Wanaendekezwa sana Hawa ,, naskia wanataka bodi nzima ijiuzulu, naskia Hadi Karia wanataka aondoke...halafu eti Simba isiruhusiwe kufanya mazoezi siku Moja kabla ya mechi uwanja wa taifa ..wapewe uwanja mwingine ambao hautatumika...vichekesho..
 
Mkuu ninaamini wewe ni mtu mzima una familia nyumbani,,mwanao wa primary akiwa anakataa kwenda shule, utakua unamchapa tu na kumlazimisha kwenda shule? au utatafuta nafasi ukae akuambie kwanini hataki kwenda shule na utachunguza malalamiko yake?
 
Kwani nyie kama nani labda wenye kujua kuwa mtaifunga Simba? Mbona kama mnajeuri hivi...yani na mechi ya mwisho mlisaidiwa na kayoko na kujifunga kwa kiijlli ila bado mna kiburi si ndio?.
Itabidi mechi ijayo ya derby yule mwamuzi saa mbovu au Kayombo. Ikishindikana kabisa awe tatu.

Hiyo ya kijili kujifunga nimecheka sana maana alikuwa hana namna kwa moto mliokuwa mnapelekewa🤣🤣🤣🤣
 
Itabidi mechi ijayo ya derby yule mwamuzi saa mbovu au Kayombo. Ikishindikana kabisa awe tatu.

Hiyo ya kijili kujifunga nimecheka sana maana alikuwa hana namna kwa moto mliokuwa mnapelekewa🤣🤣🤣🤣
Moto upi labda?? Pale kuna watu walipelekewa moto kama uto mpk wakaanza kucheza rafu mfululu
Why Tatu mechi ijayo achezeshe hata Mguto wa mzee wa yanga...
 
Vitisho vya nini? Subiri ifike tarehe 15 mpeleke timu yenu mkapewe point tatu mfurahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…