Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

Ratiba aiwabani Yanga ila wao Yanga ndo wanajibana,kama wanajua ratiba inawabana kulikua na sababu ipi ya kuweka kambi Moroco mbali kote huko?,kwenda Moroco na kurudi kunatumia siku nne,kwenda siku mbili na kurudi siku mbili,wewe huoni kwamba wameharibu muda wa kujiandaa na mechi zao ngao ya hisani na CAFCL?
Unajua maana ya kubadilisha mazingira ya pre-season ndugu mwandishi?
 
Kwani hilo fungu la Mwisho si linarudi trh 27? Au wao hawatakuwa kwenye wiki ya Mwananchi?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hii ndo taarifa ya wananchi kwamba timu ina ondoka leo Morroco, labda nikuulize ww hiyo tar 27 umeitoa wapi?
Screenshot_20210823-122919.jpg
 
Siku ya Mwananchi ni tar 29 Jumapili na mwisho wa wiki hii, unataka turudi lini ndugu mwandishi?
Hapana ndugu kuna muda hawa viongozi wa hizi timu zetu wanakua na matatzo yanafikilisha kidogo iyo tarehe ya mechi ipo kulikua na sababu gani kuingia gharama sizizo na msingi alaf wanatoa sababu ambazo haziingii akilin unasema mechi tarehe 29 apo apo kuna taarifa hao wachezaji hawarudi wote kuna baadhi watarud tarehe 27 sasa unajiuliza kama kwel sababu mechi mbona hiv vitu vinajulikana mapema na ikumbukwe kule timu imeenda kufanya mazoen na kujiandaa hakuna sababu tena ya kusema urud dar upate wik ujiandae tena ata kama timu ingerud tarehe 26 au 27 na bado timu ingecheza iyo tarehe ,ninachotaka kusema mm ni kwamba kwa ratiba ya yanga hawakua na sababu ya kwenda Morocco ebu angalia kuna mchezaj ameenda juz leo anarud sasa kama walijua hawakai sana kwann uyo mchezaj asiungane na timu dar
 
Wananchi wanaanza safari leo kutoka Morroco, hiyo tar 27 ilikuwa ni tarehe iliyopangwa Kwa kumaliza kwa kambi na kuondoka huko. Sijui Umeelewa halafu kambi huwa sio mwezi mmoja au miwili mkuu, fuatilia kambi za timu za Ulaya hasa wakiweka kambi nje ya nchi zao
Screenshot_20210823-122919.jpg
 
Legeza misuli ya kichwa na matako ndo utaelewa mbumbumbu ww, siku ya mwananchi ni tar 29 Jumapili na mwisho wa wiki hii, unataka timu ya wananchi ikae Morroco mpaka lini ndugu mwandishi?
Kuna sehem ambayo nimetumia lugha kama unayotumia ww labda na ww useme unalipa,kama hauna hoja ni bora ukae kimya tukianza lugha kali itakua hakuna faida ya kujadili jambo lolote kama unaweza kutumia lugha za utan sawa ila sio lugha kali au matusi
 
Ko nyie furaha yenu ni kufurahisha biashara ya GSM uku timu yenu ikiendelea kufanya viby?
Azam fc wenye akili wameona bora kusitisha Azam festival ili kujiandaa na mashindano. Afu nyie mnaongea utopolo wenu
Siku ya Mwananchi iko palepale kama utamaduni wa Club unavyojieleza kwa kutambulisha wachezaji wapya kwenye kikosi nadhani ndugu mwandishi umenielewa
 
Kuna sehem ambayo nimetumia lugha kama unayotumia ww labda na ww useme unalipa,kama hauna hoja ni bora ukae kimya tukianza lugha kali itakua hakuna faida ya kujadili jambo lolote kama unaweza kutumia lugha za utan sawa ila sio lugha kali au matusi
Basi tulia dawa ikuingie vizuri, usije ukakatisha dozi
 
Bora ukaitwa mbumbumbu kwa jina kuliko kua mbumbumbu kichwani. Ratiba ya FIFA na CAF zilikua zinajulikana. Hata sababu ya joto hayo ni wendazimu unaendaje sehemu za joto afu unakuja kusingizia joto?
Siku ya Mwananchi ni tar 29 Jumapili na mwisho wa wiki hii, je ndugu mwandishi unataka timu ikae Morroco mpaka lini?
 
Wananchi wanaanza safari leo kutoka Morroco, hiyo tar 27 ilikuwa ni tarehe iliyopangwa Kwa kumaliza kwa kambi na kuondoka huko. Sijui Umeelewa halafu kambi huwa sio mwezi mmoja au miwili mkuu, fuatilia kambi za timu za Ulaya hasa wakiweka kambi nje ya nchi zaoView attachment 1904560
Suhala ni kwamba wao walishajua tarehe 29 kuna mechi na kabla ya mechi kuna matukio mengi tu ya kijamii basi ratiba adi apo ilishawabana hawakua na sababu ya kwenda iyo kambi nje ya nchi ,izo kambi ambazo timu zinaenda kidogo zinaanzia wik mbil kwenda mbele ndio maana ya kambi sio unaenda sehemu unakaa siku 6 au saba apo apo safari inachukua karbu siku mbil
 
Unajua maana ya kubadilisha mazingira ya pre-season ndugu mwandishi?
Kubadili mazingira wakati unajua ratiba inakubana,wewe jamaa vipi?,je'na kwanini sasa mmeenda kubadili mazingira Moroco kwenye joto kali?,,,,dah!!,,,kuwa shabiki wa Yanga ni hasara kubwa mno.
 
Sasa ndo mlitakiwa muwe na mda wa kambi siyo kukimbia kimbia Kama watalii,Nye mna mechi za karibu mnaenda kambi Morocco na mnavunja kambi mapema ,baadaye mtaanza Tena kulia kwamba mnahujumiwa kumbe Nye wenyewe
Mbumbumbu at your own peak, kambi nje ya nchi huwa ni ya kimkakati zaidi mkuu huwa hazichukui hata mwezi mmoja, angalia kambi za Ulaya hasa timu Ikitoka nje ya nchi yake
 
Suhala ni kwamba wao walishajua tarehe 29 kuna mechi na kabla ya mechi kuna matukio mengi tu ya kijamii basi ratiba adi apo ilishawabana hawakua na sababu ya kwenda iyo kambi nje ya nchi ,izo kambi ambazo timu zinaenda kidogo zinaanzia wik mbil kwenda mbele ndio maana ya kambi sio unaenda sehemu unakaa siku 6 au saba apo apo safari inachukua karbu siku mbil
Kambi huwa ni mkakati tu wa kuijenga timu kisaikolojia, unaweza ukakaa hata mwaka huko ila ukaja kwenye pitch ukafanya vibaya pia, rejea kambi za timu za Ulaya zikienda kuweka Marekani wanatumia muda gani kama sio wiki moja tu
 
Kubadili mazingira wakati unajua ratiba inakubana,wewe jamaa vipi?,je'na kwanini sasa mmeenda kubadili mazingira Moroco kwenye joto kali?,,,,dah!!,,,kuwa shabiki wa Yanga ni hasara kubwa mno.
Mbumbumbu at your own peak, mkuu mazingira sio mandhari tu, ila kuna mazingira ya kiakili, kimwili, kisaikolojia na mambo mengine mengi
 
Hivi mkuu, kati ya kujiandaa na wiki ya mwananchi na kujiandaa dhidi ya mechi ya Rivers United kipi ni bora? Kwanini nguvu nyingi zitumike kwenye wiki ya mwananchi nasio maandalizi ya klabu bingwa?
Kwahyo ww hujui kwamba maandalizi ya mechi ya wiki ya Mwananchi ndo maandalizi ya mechi ya CAF champions league
 
Mkuu unatengeneza hoja ambazo hazina mashiko,,
Wakati wanaelekea uko moroco hawakufanya home work yao vizuri kujua haya yote..
Means mna viongozi ambao hawana plan yeyote wanafanya maamuzi kutokana na kinachowatokea..
Team haina plan yeyote ina enda enda tu..
Mkuu katika jambo lolote lile hata kama ulijiandaa namna gani ila huwa kuna changes zinatokea, So ni issue ya kawaida sana kutokea hata hivyo hakuna ubaya tar 29 Jumapili na mwisho wa wiki hii ndo siku ya mwananchi, Je unataka timu irudi lini ndugu mwandishi
 
Mashabiki wa yanga wote uji uji tu.
Timu ilijua kuna wiki la mwananchi mlikuwa na sababu zipi za kwenda Morocco kama si tabia za kuiga kunya kwa tembo.

Halafu baadae muanze kulaumu TFF mara bodi ya ligi kuwa wanawaingilia kinyume na kauli mbiu yenu?
 
Back
Top Bottom