Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Unajua maana ya kubadilisha mazingira ya pre-season ndugu mwandishi?Ratiba aiwabani Yanga ila wao Yanga ndo wanajibana,kama wanajua ratiba inawabana kulikua na sababu ipi ya kuweka kambi Moroco mbali kote huko?,kwenda Moroco na kurudi kunatumia siku nne,kwenda siku mbili na kurudi siku mbili,wewe huoni kwamba wameharibu muda wa kujiandaa na mechi zao ngao ya hisani na CAFCL?