Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 446
- 769
Kumbe wewe mpumbavu kiasi hiki? Kwa akili hizi kagombee uraisi Kwa walokole wenzako kanisaniMbona na iran hawaruhusu Al jazeera kuripoti nchini kwake
Kwanini ni kosa kwa Israel kuwakataza al jazeera ila ni sawa kwa iran kuwakataza
".....They far exceeded my wild expectations!!"Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.
They far exceeded my wild expectations!!
NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Naona unasukumwa na mahaba kuandika kuliko uhalisia wa mambo.Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.
Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.
Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.
Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.
Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.
Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….
View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012
Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.
Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.
Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!
Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.
Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.
Natumaini hayo makubaliano yatadumu.
Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.
Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.
They far exceeded my wild expectations!!
NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Hao Al Jazeera wanaripoti huko Gaza tunaona waziwazi walivyo bias ndio utegemee habar za upande mmoja kutoka kwao? Wakiuwawa Wanamgambo wa Hamas Al Jazeera watadai ni wajawazito na watoto, akiuwawa askar mmoja wa Israel watadai ni 10 ovyo kabisa wale jamaaMbona na iran hawaruhusu Al jazeera kuripoti nchini kwake
Kwanini ni kosa kwa Israel kuwakataza al jazeera ila ni sawa kwa iran kuwakataza
Yaan hii ndio dharau kubwa Israel amemuonyesha Iran, imagine adui anathibiti anga la nchi Yako na ana madege yanapiga popote yanapotaka .Lakini hatujaona hata ndege moja ya Iran ikiruka kwenda kupiga Israel 😂😂😂 , Israel alikuwa anaingia Iran anapiga anavyotaka, mzee wa shuka wamemwacha ili afikirie mara mbili kuhusu ambition yake ya nuclear
Huu ndio ukweli na sio kushabikia tu
Iran alikuwa na pia Ana haki ya kujilinda na adui
Hapa ndipo mnapokosea! Uispofahamu jambo unatakiwa ujifunze, hutakiwi kubishaLakini hatujaona hata ndege moja ya Iran ikiruka kwenda kupiga Israel 😂😂😂 , Israel alikuwa anaingia Iran anapiga anavyotaka, mzee wa shuka wamemwacha ili afikirie mara mbili kuhusu ambition yake ya nuclear
Raia wangapi wamekufa Iran ukilinganisha na Israel?Naona unasukumwa na mahaba kuandika kuliko uhalisia wa mambo.
Israel wao hawakuwa na haja ya kulenga civilian targets shida Yao ilikuwa ni military infrastructure na nuclear targets na kama wangeamua kudondosha mabomu kwenye civilian targets unahisi Hali ingekuwlaje huko Irani? Tofauti Iko hapo tu shughulisha akili Yako kijana au maboksi yamekuathiri?
Nafikiri pia ni fundisho kwa Iran sidhani kama ataendelea kuwafadhiri magaidi wa kumchokoza Israel. Iran amejifunza kwamba Israel anauwezo wa kumfuata nyumbani na kumletea madhara na washirika wake Urusi na China wakakaa kimya. Israel pia amejua kuwa Iran anaweza kujitutumua na kufika Tel Aviv akaleta usumbufu. Heshima kwa wote itakuwepo na huenda amani ikatawala mashasriki ya kati.Ni kweli kabisa
Na sasa Iran ataacha mashambulizi kama Israel hatapiga tena sehemu za Iran.
Hili ni fundisho kwa Israel na sidhani kama atamchokoza tena Iran
Israel haijafanya chochote! Vita ilipiganwa na UK na US. Kazi ya UK kupitia Royal airforce ilikuwa kudhibiti anga.Yaan hii ndio dharau kubwa Israel amemuonyesha Iran, imagine adui anathibiti anga la nchi Yako na ana madege yanapiga popote yanapotaka .
Israel haikupigana acha upuuzi. Leo Netanyahu kasema '' anamshukuru Trump kwa ku provide Defensive and Offensive assistance'' Unajua maana yake! Amesema BBIsrael amepigana hii vita kistarabu sana na hii ndio maana ya jeshi lenye nidhamu na jeshi bora, Iran wamepigana hii vita kama vile wanamgambo wa Hamas na Hizbullah na sio kama jeshi la nchi yaan wanarusha tu madude yao yeyote litakalompata shauri yake .
Mkuu ndio ushangae sasa, Urusi yenyewe pamoja na kuwa super power amezaidiwa na Iran , North Korea na china kwenye vita ya Ukraine.Kuna hoja ukizidoma humu unajua moja kwa moja zimetoka kwenye vijiwe vya kahawa.
Kuna hoja mtu anakuambia Israel ni mkorofi, wanasahau Iran na proxy zake slogan yao ni kuifuta Israel kwenye ramani, nchi kama hiyo wanairuhusuje kwa mfano kumiliki silaha za maangamizi.
Wamekazana Israel anasaidiwa as if kuna vita ambayo ishawahi pigwa nchi ikakosa ally wake, wanasahau hata Kagera war tu, Tz ilisaidiwa na Mozambique.
Ukirudi kwenye hii vita, kama lengo la Iran ilikuwa ni kushambulia maeneo ya kiraia basi wamefanikiwa ila kama lengo ni kushambulia sehemu nyeti basi Israel ni wazi kafanikiwa zaidi.
Umeongea facts mkuu, katika hii vita kaonyesha kuwa ni hatari sana,lkn upande mwingine kajifunza jambo,kaona weakness zake zilipo,bila shaka atarekebisha kwa haraka,kule kuuliwa kwa wanasayansi wake kwa mpigo,yafaa awe makini zaidi wakati mwingine,ahimarishe sana kitengo chake cha ujasusi.Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.
Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.
Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.
Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.
Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.
Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….
View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012
Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.
Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.
Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!
Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.
Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.
Natumaini hayo makubaliano yatadumu.
Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.
Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.
They far exceeded my wild expectations!!
NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Kwenye vita kusaidia sio lazima apige kelele, China asingekubali Iran ianguke kwakuwa anategemea kupata cheap oil,Nafikiri pia ni fundisho kwa Iran sidhani kama ataendelea kuwafadhiri magaidi wa kumchokoza Israel. Iran amejifunza kwamba Israel anauwezo wa kumfuata nyumbani na kumletea madhara na washirika wake Urusi na China wakakaa kimya. Israel pia amejua kuwa Iran anaweza kujitutumua na kufika Tel Aviv akaleta usumbufu. Heshima kwa wote itakuwepo na huenda amani ikatawala mashasriki ya kati.
Hahahahahaha ndo wabongo hao kujitoa ufahamu kisa Mzayuni,Israel haiui raia? Hebu Angalia basi walau Al Jazeera uone Israel leo imeua raia wangapi huko Gaza!
Hata katika hii vita, Israel imeua raia wengi wa Iran kuliko Iran ilivyoua raia wa Israel!
Sijui kwa nini watu mnajitoa fahamu kiasi hicho.
Ninachofurah kama mwanamchi wa huku kidubwa juu ni kua wenye nguvu wameona amani ni bora wala hatuhitaji mshindi cause haya maisha yangepanda juu ya mafuta na bidhaa kutokuja afrika sijui ingekuaje big up all or looser nor winGod Bless Khamenei
Long Live Tehran
God Bless Iran