MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Hatari sanaHakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.
Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.
Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.
Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.
Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.
Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….
View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012
Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.
Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.
Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!
Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.
Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.
Natumaini hayo makubaliano yatadumu.
Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.
Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.
They far exceeded my wild expectations!!
NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Hana uwezo bila Marekani..Hivi Israel nae aanze sasa kushanbulia residential building za Tehran ili mzani ubalansi sasa
Israel na dubai wewe utachagua ukaishi wapi bwashee?Ayaaaaaa wenye nyumba mkuu ni wale watoa viza😂
Unaona sasa….ndo maana nikauliza kama una mtindio wa ubongo au la!Umekimbilia kwenye personal attack hiyo ni ishara wewe ndo unamatatizo ya akili kwanini usijikite kwenye hoja
umesema marekani ni greatest country nimekuuliza swali mbona unashangilia iran kumshinda marekani kumbe iran kamshinda greatest country marekani
KUMBE HUWEZI HIMILI KUKOSOLEWA ILA UNAPENDA KUKOSOA
Jitahidi uwe na consistency na hoja zako
Israel/wayahudu hawajawai kushinda kwa nguvu za kijeshi katika vita yoyote ileSoma vita vyote vya Israel tokea mwaka 1947 mwanzoni anaonekanaga ameshindwa ila counter attack zake huwaga ni balaa
Hapo nitachagua Dubai maana UAE amani tele kama BongoIsrael na dubai wewe utachagua ukaishi wapi bwashee?
Msitukanane tujadili kwa hoja tu sisi ni weusi vita ni ya weupe tusigombane kwa sababu sisi ni nduguUnaona sasa….ndo maana nikauliza kama una mtindio wa ubongo au la!
Vita iliyopo ni kati ya Israel na Iran.
Sasa Iran kamshinda wapi Marekani?
Marekani ndo nchi yenye jeshi lenye nguvu zaidi hapa duniani.
Iran itaishindaje Marekani kijeshi?
Unaongelea vitu ambavyo hata sijavizungumzia.
Kijeshi Marekani na Iran wala hakuna cha kulinganisha.
Mimi nimezungumzia Iran kupambana na Israel na Iran kuilipua Israel halafu wewe unasema nashangilia Iran kuishinda Marekani!
Unanipotezea muda wangu tu. Kabishane na majuha wenzio huko.
You’re ignored.
Kwa hiyo licha ya mapenzi na Israel utachagua kwa wavaa kobazi😅😅 nafikiri jibu umepataHapo nitachagua Dubai maana UAE amani tele kama Bongo
Nani kaitukana Marekani?Sina shida na ubaya/uzuri wa USA maana nchi zote hazijakamilika
Shida yangu ipo kwa wale wanaoitukana halafu wanatamani kuishi huko
Nyani Ngabu hapa umezungumza bila kuingiza hisia.Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.
Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.
Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.
Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.
Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.
Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….
View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012
Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.
Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.
Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!
Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.
Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.
Natumaini hayo makubaliano yatadumu.
Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.
Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.
They far exceeded my wild expectations!!
NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Mkuu sina upande linapokuja swala la vita na sishabikii vita, napenda kuwa NeutralKwa hiyo licha ya mapenzi na Israel utachagua kwa wavaa kobazi😅😅 nafikiri jibu umepata
Mwenyewe sina upande zaidi ya kuchagua upande wa haki😁Mkuu sina upande linapokuja swala la vita na sishabikii vita, napenda kuwa Neutral
Raia walio wengi wa nchi za kiarabu wanaitukana sana USANani kaitukana Marekani?
Kama vita sio ya marekaniUnaona sasa….ndo maana nikauliza kama una mtindio wa ubongo au la!
Vita iliyopo ni kati ya Israel na Iran.
Sasa Iran kamshinda wapi Marekani?
Marekani ndo nchi yenye jeshi lenye nguvu zaidi hapa duniani.
Iran itaishindaje Marekani kijeshi?
Unaongelea vitu ambavyo hata sijavizungumzia.
Kijeshi Marekani na Iran wala hakuna cha kulinganisha.
Mimi nimezungumzia Iran kupambana na Israel na Iran kuilipua Israel halafu wewe unasema nashangilia Iran kuishinda Marekani!
Unanipotezea muda wangu tu. Kabishane na majuha wenzio huko.
You’re ignored.
Sasa kama mtu haelewi hata anachokiongelea, nimuiteje sasa?Msitukanane tujadili kwa hoja tu sisi ni weusi vita ni ya weupe tusigombane kwa sababu sisi ni ndugu
Wapo pia raia wengi tu wa US hawaungi mkono nchi yao kujiingiza kwenye hiyo vita🤔Raia walio wengi wa nchi za kiarabu wanaitukana sana USA
Na kuna wengi tu ambao hawaitukani.Raia walio wengi wa nchi za kiarabu wanaitukana sana USA