Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Wewe umesema Journalists wa Al-Jazeera wamekuwa barred Kureport kutokea Iran, Mimi nimekuambia sio Kweli, Kuna correspondents wana report kutokea Tehran na sio Tel-Aviv, Israel yeye ndio amezuiaUmeshaona Al jazeera alirusha picha za sehemu zilizoharibika kama anavyofanya kwa Israel na kumbuka Al jazeera alikuwa na studio kabisa Israel ila hajawahi kuwa na studio Iran umeshawahi jiuliza ni kwanini hajawahi kuwa na studio iran
Wewe umeona sehemu ipi ya kiusalama iliyo jitenga na raia ika pigwa pichaUmeshaona Al jazeera alirusha picha za sehemu zilizoharibika kama anavyofanya kwa Israel na kumbuka Al jazeera alikuwa na studio kabisa Israel ila hajawahi kuwa na studio Iran umeshawahi jiuliza ni kwanini hajawahi kuwa na studio iran
Israel alikua anashambulia vizuri tu residential buildings maeneo kama Tehran na Shiraz,ila ADS za Iran zilijitahidi kuzuia mashambulizi japo sio kwa 100%.Hivi Israel nae aanze sasa kushanbulia residential building za Tehran ili mzani ubalansi sasa
Israel imezuia siku za karibuni miaka ya nyuma Al jazeera walikuwa na studio IsraelWewe umesema Journalists wa Al-Jazeera wamekuwa barred Kureport kutokea Iran, Mimi nimekuambia sio Kweli, Kuna correspondents wana report kutokea Tehran na sio Tel-Aviv, Israel yeye ndio amezuia
Aljazeera wanaripoti live from Tehran usitudanganye wewe.Mbona na iran hawaruhusu Al jazeera kuripoti nchini kwake
Kwanini ni kosa kwa Israel kuwakataza al jazeera ila ni sawa kwa iran kuwakataza
Hawawezi ongea habari kinyume na nchi ya iran ni mwendo wa mapambioAljazeera wanaripoti live from Tehran usitudanganye wewe.
Nimetizama habari asubuhi hii Kuna Aljazeera correspondent akiwa Tehran anahoji.
Acha ubishi wa kindezi wewe.Iran wana censorship kubwa sana ndani ya iran huna uhuru huo unaotaka kuaminisha watu
Sisi waafrika tuendelee kushabikia vita ila hatuna tunachojua, mfano unaiponda marekani ila bado unanganinia kuishi marekani
Ni kama waarubu wanaziponda nchi za Western lakin kila siku wanakimbilia huko
Wewe ni mbishani wacha nikuache.Hawawezi ongea habari kinyume na nchi ya iran ni mwendo wa mapambio
Ona uongo mwingine huu.Soma vita vyote vya Israel tokea mwaka 1947 mwanzoni anaonekanaga ameshindwa ila counter attack zake huwaga ni balaa
Sio ubishani Al jazeera iran hawawezi mponda ayatollah wako kule kama praise teamWewe ni mbishani wacha nikuache.
Umeona habari zilizorushwa?Sio ubishani Al jazeera iran hawawezi mponda ayatollah wako kule kama praise team
Tactical retreat sio kushindwa vitaOna uongo mwingine huu.
Vita ya 2006 alikimbia pale Bint Jubeir na ku pull back Shebah farms.
Alikua anakataa ceasefire na Hizbollah akisema hajadili na magaidi ila mwenyewe baadae akakubali ceasefire na kuachiwa nusu ya Shebah farms kama buffer zone.
Kwa hiyo wewe kiu yako ni wamponde ayatollah 😂😂😂 hii ni maajabuSio ubishani Al jazeera iran hawawezi mponda ayatollah wako kule kama praise team
Inabidi ufikirie tena usahihi wa msimamo wako.Ndio ashakubali sasa. Vinu vya nyuklia chakari, wakuu wa majeshi wawili wamefyekwa, mkuu wa Airforce kauwawa, mkuu wa Intelligence kauwawa.
Baada ya hapo anasaini kuacha vita. Kisha wanamgambo wa JF wanakwambia eti Iran kashinda 😂
Sio kosa inch za middle East hazina uhuru huo ambao wewe unaamini upoUmeona habari zilizorushwa?
Kwenye vita una praise nini?
Aljazeera imeonesha maeneo yaliyoathirika na kutangaza kuhusu hiyo vita inaelekea wapi.
Huko ku praise kunatokea wapi.?
Alishindwa hakuna kumumunya na kusema tactical retreat.Tactical retreat sio kushindwa vita
Nimetolea mfanoKwa hiyo wewe kiu yako ni wamponde ayatollah 😂😂😂 hii ni maajabu
Neno lako sio sheria unarusiwa kujifarijiAlishindwa hakuna kumumunya na kusema tactical retreat.
Waliacha hadi vifaru pale kusini mwa Lebanon.
Na walisema wazi hawataki majadiliano na Hizbollah maana ni magaidi,kipi kiliwafanya wakubali ceasefire?