Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Regime change iko tokea mwaka 1978 haijaanza juziUnajua kusoma kwa ufahamu ndugu Rais?
Nani kaanza Uvamizi?
Je alieanza alitarajiwa kufanikisha kaweza?
Haya kavamia na regime change haijatokea una la kusema?
Kwa hiyo wamefeli japo na kuvamia wamevamia!Regime change iko tokea mwaka 1978 haijaanza juzi
Hata iran hawajafanikiwa kuifuta kwenye ramani ya duniaKwa hiyo wamefeli japo na kuvamia wamevamia!
Hii ni safi ukitumia akili tu lazima majibu yapatikane
Mpaka sasa Tumuangalie alie vamia mvamizi ndie alie feli Iran kavamia?Hata iran hawajafanikiwa kuifuta kwenye ramani ya dunia
Hakuna aliyefanikiwa mpaka sahivi kwenye lengo lake
Usidhani,ni kweli madhara ni makubwa ndani ya israel ,na netanyahu hatorudiaHakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.
Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.
Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.
Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.
Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.
Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….
View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012
Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.
Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.
Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!
Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.
Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.
Natumaini hayo makubaliano yatadumu.
Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.
Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.
They far exceeded my wild expectations!!
NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Jana israel walishambulia Iran sehemu ambayo ni karibu na studio za al jazeeraUmeshaona Al jazeera alirusha picha za sehemu zilizoharibika kama anavyofanya kwa Israel na kumbuka Al jazeera alikuwa na studio kabisa Israel ila hajawahi kuwa na studio Iran umeshawahi jiuliza ni kwanini hajawahi kuwa na studio iran
Wacha uongo weweIran kila kitu kipo wazi hadi idadi ya vifo wanaweka wazi hakuna kufanya censorship ya maafa.
Maoni hayana basis. Iran kashinda vita kwenye nini wakati vinu vya nyuklia vimelipuliwa na Israel bado ipo. Nani katimiza lengo kati ya Iran na Israel?Inabidi ufikirie tena usahihi wa msimamo wako.
Kwa vile ni maoni (opinion) siyo kielelezo cha hali halisi (fact) au uhalisia (reality) basi naheshimu hoja yako.
Maoni ya wengine nikiwemo Iran ameshinda pakubwa sana kwenye hii vita.
Iran ndio amevunjiwa heshima. Ndani ya miaka miwili Israel imeua:Amefanya uharibifu mkubwa ndani ya Israel na kubwa zaidi amevunja heshima au sifa za uhodari wa mifumo ya ulinzi wa anga wa Israel na Marekani.
Air defense systems za Iran zimeharibiwa zote hata fighter moja wameshindwa kuangusha.Iron Dome na nyingine zote sasa chali.
Ushindi wa Iran ni kuporomosha hisa za silaha za Israel (kwa muda). Ushindi wa Israel ni kuharibu urutubishaji wa Uranium na kuzuia Iran kutengeneza nukes.Kwenye soko la hisa kwenye biashara ya silaha na mifumo ya ulinzi wa kivita hisa za hiyo mifumo zimeporomoka.
Hawakuwa waoga tangu mwanzo, na walipotezwa. Walianza Hamas ile October 17, wakafuata Hezbollah kisha Israel ikawafuata baba yao Iran.Pili amewaondoa uoga wadau, mataifa au taasisi sitakazo jikuta zinakpambana na Israel na Marekani.
Syria kinu chao kilipigwa na Israel, hawakurudia. Iraq kinu chao kilipigwa na Israel hawakurudia. Israel mzoefu wa hizi kazi, tumuone Iran sasa.Mwisho kabisa ni suala la kurutubisha Uranium (nuclear materials enrichment). Sasa Iran anaweza kuwa amepata uhalali wa kuendeleza huo mradi mara tatu ya hapo awali na kutowajibika kwa yeyote au kuogopa kelele za UN n.k. Amepewa leseni (literally) ya kufanya bila kuhojiwa. Anaweza kujiondoa IAEA.
Israel haogopi yeyote ndio maana ndani ya miaka miwili anapigana na mamluki na mfadhiri wao wote anapiga. Na hajawahi ogopa mtu hata wakiunganisha majeshi waje nchi mbili aliwahi wakabili.Israel kuanzia sasa ataiogopa Iran kwa miaka mingi ijayo. Na hii Vita inaweza kumuondoa Netanyau madarakani kitu ambacho kitapunguza mateso kwa Palestinians sababu hardliners wa Vita wa Israel watakuwa hawana mtu wao kwenye kitufe cha kuanzisha Vita.
Unasema hakuna mshindi alafu wakati huo unasema Israel ametimiza malengo yake basi tuseme Israel ndo imeshinda maana kushinda vita huwa kutimiza malengo.Ikitokea ceasefire hakuna mshindi hapo, kuna kigezo kingine cha kutafuta mshindi kinatumika. Mshindi hutangazwa direct endapo kuna unconditional surrender, aliyepewa masharti bila akakubali ndio kashindwa.
Kwenye ceasfire au peace plan wote wamekubaliana. Tunarudi sasa kwenye chanzo cha vita.
Israel ilikuwa na lengo la kuharibu vinu vya nyuklia vya Iran, Iran huwa inaimba wimbo wa "Death to Zionists State, Death to Israel". Kipi kimefanyika hapo?
Tukija kwenye casualties. Israel imeua Wakuu wa majeshi wawili wa Iran, Chief of Staff mmoja (second in command), Chief of Airforce na mfyatua makombora mkuu, Chief of Intelligence na maafisa wengine waandamizi. Iran hata mgambo wa Israel kashindwa, ni kuua raia tu.
Israel katawala anga la Iran bila kikwazo.
Sasa Israel apigane kwa sababu zipi tena wakati urutubishaji wa nyuklia Iran hawezi tena. Iran ndio ilitakiwa igome kusitisha vita, Israel haina haja ya kugoma wakati lengo limetimia. Na Iran ikirudia kurutubisha Uranium tena utaona mashambulizi ya Israel yanajirudia.
Na Israel watahakikisha wanarudi tena kushambulia Iran na hapo ndipo kutakuwa na vita kubwa zaidi.Hapa naona Israel alishambulia akijua Iran atakaa kimya kama kawaida. Baadae kaona kina ni kirefu sana hakiwezi.
Nauna ilikua mswada sasa umepitishwa🤔Daah wamefikia kulipia tena kazi ipo..
FactHakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.
Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.
Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.
Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.
Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.
Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….
View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012
Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.
Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.
Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!
Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.
Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.
Natumaini hayo makubaliano yatadumu.
Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.
Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.
They far exceeded my wild expectations!!
NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Sasa wewe ndio unaleta hoja za vijiwe vya kahawa.Kuna hoja ukizidoma humu unajua moja kwa moja zimetoka kwenye vijiwe vya kahawa.
Kuna hoja mtu anakuambia Israel ni mkorofi, wanasahau Iran na proxy zake slogan yao ni kuifuta Israel kwenye ramani, nchi kama hiyo wanairuhusuje kwa mfano kumiliki silaha za maangamizi.
Wamekazana Israel anasaidiwa as if kuna vita ambayo ishawahi pigwa nchi ikakosa ally wake, wanasahau hata Kagera war tu, Tz ilisaidiwa na Mozambique.
Ukirudi kwenye hii vita, kama lengo la Iran ilikuwa ni kushambulia maeneo ya kiraia basi wamefanikiwa ila kama lengo ni kushambulia sehemu nyeti basi Israel ni wazi kafanikiwa zaidi.
Vinu vya Nuclear vipo salama kabisa, na vyombo mbali mbali vimelipoti na hata Jana Israel kashambuli Tena huko kuzuia access ya wairani huko. Nadhani Israel angekataa ceasefire kama anavyokataa na Hamas mpaka Regime change ifanyike na ndio lilikua lengo lake kubwa. Maana alisema bila Regime change basi wairani wataendelea kufadhili makundi ya kigaidi hivyo bila Regime change Bado hajafikia malengo yote.Ndio ashakubali sasa. Vinu vya nyuklia chakari, wakuu wa majeshi wawili wamefyekwa, mkuu wa Airforce kauwawa, mkuu wa Intelligence kauwawa.
Baada ya hapo anasaini kuacha vita. Kisha wanamgambo wa JF wanakwambia eti Iran kashinda 😂
Azimio la Umoja wa Mataifa namba 2231 lilowekwa mwaka 2015 litafikia ukomo wake tarehe 1 October 2025.Unasema hakuna mshindi alafu wakati huo unasema Israel ametimiza malengo yake basi tuseme Israel ndo imeshinda maana kushinda vita huwa kutimiza malengo.
Netanyau kipindi ana anzisha mashambuli alienda na malengo mawili kusambaratisha mpango wa nyukilia wa Iran na kubadilisha utawala nchini Iran na hakuna kilicho timia.
Mpango wa nyuklia Iran ina vinu 8 vya nyuklia vilivyo pigwa ni vitatu hata hivyo vilivyo pigwa hakuna uhakika iwapo vimeharibiwa kabisa, kuhusu mabadiliko ndo wameferi kwa aibu kubwa.
Kuhusu Israel kutawala anga ta Iran si bora Iran watasingizia hujuma zilizo fanywa dhidi ya mifumo ya ulinzi kutoka ndani, vipi kuhusu Israel ambaye mifumo yake yote ya anga ilikuwa ina fanya kazi na bado makombora ya Iran yakawa wanatawala anga lake na kufanya uharibifu?