Alisema : MAMA na ndugu zangu ni wale ..........dini ya kweli ni kuwasaidia wajane na yatima.
Kwa magaidi wakamuue kafiri kwa kumkata SHINGO Si Bora aende kwa Warumi wampige tena MisumaliMsikitini
Bisha sasa
Tulianzishe maana hamchelewi
Tutagombana kwa yajayo
Alafu mwambie Idi ni Jina la MTU km alivyo Issa
- Yesu hana dini
- Huwa ni sherehe ya idi au mkutano wa idi? Kumbuka Quran ime-copy kutoka kwenye Biblia ndiyo maana baadhi ya huwa ni tofauti. Rejea Yesu na Issa utagundua ni watu tofauti
Thread yako umeleta kishabiki pasipo kutafakari. Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta MunguNawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.
Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!
Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!
Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?
Je, ni kitu gani hawatuambii?
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu.Kwanini, umekuwepo msisitizo wa dini yaani ukiwaambia watu namwamini Mungu watakuuliza unasali dini ipi? Ukiwaambia Mkristo watakuuliza dhehebu!!
Swali : MUNGU alivyosema "tumfanye MTU kwa mfano WETU" inamaanisha nini WETU inamaana gani?lakini RC Bikra maria tunaaminishwa ni mama wa Mungu katika Kristo yesu.
Kasomeeee,,,,,,!!!!Muislamu utaelezeaje historia ya Yesu ambaye ninyi mnamfananisha na uyo mtu wenu mnaemuita Nabii Issa.
Hao ni watu wawili tofauti
Kingine mnatumia nguvu kubwa sana kujilinganisha na ukristo kwa kutohoa story na kuongeza hadithi zenu
Ilihali uislamu wenu ulianzishwa na huyo Mohammed wenu miaka 500 baada ya Yesu kuondoka ... Na Bado mnasema alikua ni Muislam.
Kuelezea kitu usichokuwa na imani nacho huku ukiwana chuki utakielezea kwa kutokueleza ukweli
Nyie endeleeni na mtu wenu huyo
Hizo ni fallacies au propaganda dhidi ya uislamu, hakuna ukweli wowote, na kuthibitisha ujinga wenu huwa mnabeba uzushi wa namna hiyo na kuuamini!Lakini Yesu huyo anafukuza majini yenu na mapepo yenu yanamuogopa
KISIMA cha WAJINGAWajanja wanatake advantage kwa ujinga wenu wa bendera kufuata upepo!!!!
Mapepo na majini yetu umewahi kuyaona wapi?
Unaamini kwamba Hakuna Uislamu bila Ukristo? Ukristo ndio chanzo cha uislamu?Hizo ni fallacies au propaganda dhidi ya uislamu, hakuna ukweli wowote, na kuthibitisha ujinga wenu huwa mnabeba uzushi wa namna hiyo na kuuamini!
Kama ingelikuwa kuna ukweli katika hayo ya majini na mapepo basi kesi za mapepo zingelikuwa nyingi msikitini, ushawahi kusikia msikitini kuna mapepo au majini, sa nenda kanisani kila uchwao wao na maombezi, maombezi na wao,. Wajanja wanatake advantage kwa ujinga wenu wa bendera kufuata upepo!!!!
Yesu au Isa bin Maryam ni muislamu na sisi tunaamini kulingana na habari alizozitoa Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم kwanza hajawahi kufa Wala kufufuka na Allaah alimpaisha mbinguni kabla mikono michafu ya wayahudi haijamgusa. Na atarudi duniani kabla ya siku ya kiyama, atavunja misalaba na kuua nguruwe. Na ataswali msikitini pamoja na waislamu. Na wakati huo Wakristo wengi watasilimu.Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.
Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!
Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!
Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?
Je, ni kitu gani hawatuambii?
Atasali makanisa yote ni baba wa ukristo bila kujali kanisaAtapenda kujua Kama kazi alizowaachia wanafunzi wake zinatekelezwa ikumbukwe aliwaagiza akisema. "Enendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili... "
Tafuta ela ndg, uwaachie watoto urithiNawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani.
Baada ya kifo na ufufuo wake (Kama ilivyoandikwa) ndipo lilianza vuguvugu la kanisa la kwanza!
Ukiwauliza RC watakwambia, Papa wa Kwanza ni Mt Petro na alikuwa mwanafunzi wa Yesu. Ukiwauliza Walokole nao watakwambia wao ndio wapo sahihi, Vivyo Hivyo kwa Wasabato au Mashahidi wa Yehova!
Kama biblia inayotumika ni moja inakuwaje kuna mgongano huu mkubwa?
Je, ni kitu gani hawatuambii?
Yesu atarudi duniani mara 2, ya kwanza kunyakua kanisa ambapo watakaokuwa tayari muda hua anaporudi duniani watanyakuliwa kumbuka hapo anaporudi mara hiyo walio tayari tu ndio watakao muona na ataishia mawinguni hivyo hatasali kokote maana hagusi ardhi.
Mara ya 2 atarudi duniani kumaliza ugomvi wa dunia na Israel ambapo ataanzisha utawala wa miaka 1000 na ambapo hakutokuwa tena na madhehebu haya sijui kkkt, eagt, rc, n.k bali kutakuwa na dini/imani moja tu na kila mwaka watu wataenda Yerusalemu kumuabudu.