Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

W
We jamaa wewe
 
Inavyosemekana hao watu kumi waliokuwemo kwenye hiyo Ndege wote walikua wakuu wa Wagner Group na waliitwa kwa special issue kumbe KGB ilikua inawasaka tu!!
Cheza na vitu usiche na Idara ya Usalama wa Taifa alichokitafuta huyo jamaa amekipata majasusi yapo kazini
 
Familia tu zinazojitambuwa huwa hawasafiri pamoja, ndio sembuse hao Magenerali wa kijeshi?

Mnawachukulia powa sana, hata kwenye sinema za Hollywood mistake hizo hazifanyiki za kuweka mayayi yote kapu moja.
 
Wewe huna akili, hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuishabikia Urusi na shetani wake Putin.

Regardless sishabikii chochote kwenye vita ya Ukraine.
Sasa aliekuambia Mimi nashabikia Russia ni nani.. mi nimefurahia hii taarifa mzee[emoji16]
 
Mbona huwa anapanda kawaida tu. Hata kipindi kile viongozi wa Afrika wameenda mkutanoni alionekana kama kawaida akipanda Helicopter na akaenda nayo na hadi Mkutanoni akafika!
 
Duuh..
Putin kaamua kumuwahi kamanda Prigozhin🙄
 
Si mlisema lilikuwa IGIZO?
 
Urusi haipo tena syria?
Nasema Wagner hawapo Syria, walitoka muda uko. Na ndio ulikuwa mwanzo wa Wagner kuchukiana na wizara ya ulinzi. Hii chuki wanayo tangu 2018, majenerali wa Urusi walipanga shambulizi dhidi ya vikosi vya Marekani wakawatuma Wagner ili baadae wawakane. Kile kikosi cha Marekani ilikuwa ni special forces hata hawakurusha risasi yeyote ni mwendo wa AH-64 Apache, attack drones na AC-130 gunship.
Marekani iliiwauliza Warusi pale Syria kwa official communication channel kama hivi vikosi vinavyotusogelea ni vyenu Warusi hawakueleweka, Wagner ikaomba ipewe air cover jeshi la Urusi likakataa wakauwawa wengi.

Wizara ya ulinzi ilikuwa inawaonea wivu, wapiganaji wa ground wengi ni Wagner maofisa wa Urusi ni kupiga gwaride na kufanya air sorties na kufanya kazi kubwa ikitokea kuna ziara. Majeruhi na vifo vingi vilikuwa kwa Wagner. Hata hapo Ukraine vifo vingi vimetokea Bakhmut ambapo Wagner walikuwa positinioed.
Wizara inawapa silaha kidogo wanakuwa underpowered kupigana na adui ili wasichukue credit wao, Prigozhin ikawa ni kuwafokea Ministry of Defence mara kwa mara. Shoigu na Gerasimov wake wakamchukia wakaona kama anataka kuwafukuzisha kazi. Na mengine yakaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…