Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Hapa Prigozhin ndo alifanya kosa,alitakiwa aende mpaka Moscou.
 
Unaakili ya ku’fact check habari kuliko mainstreams media zote Duniani?
Sijui wew umefatilia chombo gan lkn kwa mujibu wa DW mkeka unasoma abiria saba na wahudumu watat walipaswa kusafir na hiyo ndege lkn waliowah eneo la ajal wamefanikiwa kupata miili nane tu na ktk miili hiyo mwili wa YP haupo
 
Mwamba yupo hai 😀😀😀😀😀
 
Laiti kama Putin angeenda South Africa na kuondoka bila kukamatwa, basi serikalini ya SA ingekuwa katika mzozo mkali sana na ICC. Alifanya vile kutoiingiza Sauzi katika matatizo.
Ndio hao hao SA walimruhusu Omar Al Bashir kuondoka SA wakati kulikuwa na court order ya kukamatwa
Hawa huwa wanaongea tu
 
Hata mimi nawaza isije kuwa mchezo unachezwa
 
Warusi wa buza, Prighozin alijaribu kumpindua Putin, mlisema ni maigizo wale ni washikaji, leo mnabadilika mnasema, Putin ndio amefanya vile.

What If CIA au ni Ukraine ndio imefanya hivyo kuwachochea Askari wa Wagner na Jeshi la Russia wachukizwe na kufanya jambo.
 
Warusi wa buza wamevurugwa tu, sio wa kuwatilia maanani
 
Bado Zelensky....watu wanamuangalia tu anavyorukaruka....hawajamuamulia kazi...yale matrain anayopanda kutoka Kiev kwenda Ulaya ipo siku tutaona yanalipuka....
YP...alijisahau..alichokifanya hakuna aliyekikubali....
Y
Jeshi lilikua halielewani naye, na amekuwa akishambulia kwa maneno makali jeshi na Shoigu.Ile mutiny hata kama haikufanikiwa lkn intelligence agencies lazima hazikupenda na walikua wanamlia timing tu aondoke bila kelele na ushahidi na bila umwagaji wa damu.

FSB wamempata huyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…