Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Putin kala kichwa mapemaa
Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege

Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege

Watanzania tumuombee apumzike kwa amani!

Source: Al jazeera

====

Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika Kiongozi wa Jeshi Binafsi la Wagner Group, Yevgeny Prigozhin naye alikuwepo kwenye Ndege hiyo

Taarifa za awali zilizoripotiwa na akaunti ya Grey Zone inayodaiwa kuwa na uhusiano na #WagnerGroup zimeeleza kuwa Ndege hiyo ilishambuliwa na Walinzi wa Anga katika Mkoa wa Tver, Kaskazini mwa Moscow

Juni 2023, Prigozhin aliongoza kilichoelezwa kuwa ni Uasi wa muda mfupi dhidi ya Wakuu wa Kijeshi wa Urusi ambapo Rais Vladimir Putin alimtaja Kiongozi huyo kama Msaliti.

View attachment 2726581
Yevgeny Prigozhin was passenger on crashed plane, Russian officials say Ten died when aircraft came down on flight from Moscow to St Petersburg, according to emergency ministry

Wagner boss Yevgeny Prigozhin was on the passenger list of a plane which crashed in Russia, killing all 10 on board. He was believed to be on board the plane. Earlier, a Wagner-linked Telegram channel Grey Zone reported that the jet was shot down by air defences in Tver region, north of Moscow.

Kesha kipima hii kichwa silencer haikai
 
Boss wa Wagner afe kizembe hivyo huu ni mchezo wa kina putin wanatuchezea ile mjuwe keshakufa ili mrelax kumbe mtu yupo Africa huku anapiga kazi

Russia sahv wanatumia akili kubwa mno kugain influence

Miez kadhaa nyuma hata ile mapinduzi ya wagner kuelekea moscow ilikua ni movie tu kina biden wakaingizwa chaka kumbe ilikua ni technique ya kuhamishia wapiganaji Beralus ili waizunguke vizuri Ukraine utake kumpindua mtu Putin akuache hai kwa miez yote hyo na ukiwa belarus mara africa akuache tu[emoji23][emoji23]

Huyu jamaa atakuja kuibuka mtabaki mnaduwaa hii tension ya Niger inafanya Russia na Wagner wacheze karata yao kwa umakini sana
 
Screenshot_20230807-080822.png
 
Kula chuma hicho

View: https://twitter.com/sentdefender/status/1694431083276718567?s=46
 
Hapa Prigozhin ndo alifanya kosa,alitakiwa aende mpaka Moscou.
Hakufanya kosa usimlaumu. Mambo mwishoni hapo yalikuwa ni ya kulazimisha kila option ni ngumu.

1. Kundi lake linateketea kwa uzembe wa wakuu wa wizara ya ulinzi, asipolitetea litamuua lenyewe.

2. Katetea kundi lake wakuu wake wakaona wakimpa kila anachotaka atafanya vizuri na credit apate kisha atishie maslahi yao, wakambania.

3. Akafokea wakubwa zake na kuwaita wasaliti na wazembe, wakamchukia zaidi. Makamanda wa jeshi ndani humo wengi tu wanamkubali.

4. Mwezi June pale Shoigu akafanya mpango wa kumuua Prigozhin ukafeli, akaona hana cha kupoteza wacha ajaribu maana vyovyote vile ashakuwa wa kufa.

5. Akafanya mutiny akiamini ataungwa mkono na majenerali wa Urusi ambao hawautaki uongozi wao mbovu wa kijeshi maana unafelisha vita na kuifanya iwe ndefu sababu uko incompetent. Wagner ikafanya safari kutoka mpakani siku nzima hakuna kikosi kimejitokeza kuizuia (kulikuwa na kamgomo baridi jeshini). Wakajitokeza jeshi la anga wachache na helicopters zao na relay aircraft zikadunguliwa.

6. Serikali ikawa kama haiamini ikalipua vituo vya mafuta njiani na kuchimba mahandaki barabara ya kuingia Moscow upande walipokuwa Wagner na kikosi maalum kikakaa kuwasubiri. Jioni ile mazungumzo yanaendelea baina ya Prigozhin na serikali, yakashindikana sababu Putin hakutaka kumuondoa Shoigu kama Prigozhin alivyotaka.

7. Jioni ile baada ya kuona hakuna uungwaji mkono na majenerali wengine wa jeshi (hawa kina Surovikin na wengine ambao walikuwa wanasoma upepo, na watauwawa wengine hii pigia mstari kabisa) ndipo Prigozhin akaona hawezi fika Moscow. Akakubali ofa ya kwenda Belarus ila akaweka sharti la kufutiwa mashtaka hivyo asingeweza shtakiwa.

Prigozhin alifanya uasi kwa kulazimishwa, ile attempt ya kumuua mapema ingefanikiwa asingefika kote uko. Na alijua hana uwezo wa kupindua nchi, ila kushawishi majenerali wengine ndio wafanye mapinduzi. Na wanaomlaumu kwanini alikuwa uraiani, sasa Belarus na Moscow tofauti yake nini yani unaikimbia serikali ya Marekani unaenda kuomba hifadhi Uingereza? Si ni sawa na kukimbia kwa baba kwenda kwa babu, baba akikutaka si anakufata na kukuchukua.
 
Boss wa Wagner afe kizembe hivyo huu ni mchezo wa kina putin wanatuchezea ile mjuwe keshakufa ili mrelax kumbe mtu yupo Africa huku anapiga kazi

Russia sahv wanatumia akili kubwa mno kugain influence

Miez kadhaa nyuma hata ile mapinduzi ya wagner kuelekea moscow ilikua ni movie tu kina biden wakaingizwa chaka kumbe ilikua ni technique ya kuhamishia wapiganaji Beralus ili waizunguke vizuri Ukraine utake kumpindua mtu Putin akuache hai kwa miez yote hyo na ukiwa belarus mara africa akuache tu[emoji23][emoji23]

Huyu jamaa atakuja kuibuka mtabaki mnaduwaa hii tension ya Niger inafanya Russia na Wagner wacheze karata yao kwa umakini sana
Kama wafuatilia uzuri kuna kipindi wiki mbili au tatu nyuma Biden alikuwa alisema kwa kutania mara kwa mara akimlenga Prigozhin kwamba awe mwangalifu anapokula chakula chochote au kinywaji chochote.

Majasusi wa CIA na wa SVR na FSB hufanya kazi pamoja hivyo walikwishafahamu mpango wa kujaribu kufanya uasi na nani ni wahusika wakuu.

Hivyo Surovokin amebanwa kama mwezi hivi na kasema na huyu Prigozhin yeye ametafutiwa utaratibu maalum.

Haiwezekani ndege itaanguka ndani ya Russia hilo eneo la Tver kaskazini mwa Moscow yaani ni katikati kabisa ya St Petersburg na Moscow, na isijulikane chanzo chake.
 
Tangu lini CIA wakafanya kazi au kushirikiana na FSB..?

I will say that, based on the best video evidence I have yet seen, I don't believe the jet was shot down by an anti-aircraft missile, but rather was brought down by an onboard explosive device.I will also say that my sense of things is that, if Putin wanted to get rid of Prigozhin, Utkin, and others of the PMC Wagner leadership, this would absolutely NOT be the way he would go about it.
 
Back
Top Bottom