Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 343
- 1,021
Leta source hapa.Sijui wew umefatilia chombo gan lkn kwa mujibu wa DW mkeka unasoma abiria saba na wahudumu watat walipaswa kusafir na hiyo ndege lkn waliowah eneo la ajal wamefanikiwa kupata miili nane tu na ktk miili hiyo mwili wa YP haupo
Mod Nimemuita akaitikaNilikuwa sijui kama hii habari imefika hapa
Maiti zimeungua zote.Mpaka maiti ionekane ndiyo ntaamini kweli amefariki isije kuwa tena janjajanja ya putin
Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege
Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege
Watanzania tumuombee apumzike kwa amani!
Source: Al jazeera
====
Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika Kiongozi wa Jeshi Binafsi la Wagner Group, Yevgeny Prigozhin naye alikuwepo kwenye Ndege hiyo
Taarifa za awali zilizoripotiwa na akaunti ya Grey Zone inayodaiwa kuwa na uhusiano na #WagnerGroup zimeeleza kuwa Ndege hiyo ilishambuliwa na Walinzi wa Anga katika Mkoa wa Tver, Kaskazini mwa Moscow
Juni 2023, Prigozhin aliongoza kilichoelezwa kuwa ni Uasi wa muda mfupi dhidi ya Wakuu wa Kijeshi wa Urusi ambapo Rais Vladimir Putin alimtaja Kiongozi huyo kama Msaliti.
View attachment 2726581
Yevgeny Prigozhin was passenger on crashed plane, Russian officials say Ten died when aircraft came down on flight from Moscow to St Petersburg, according to emergency ministry
Wagner boss Yevgeny Prigozhin was on the passenger list of a plane which crashed in Russia, killing all 10 on board. He was believed to be on board the plane. Earlier, a Wagner-linked Telegram channel Grey Zone reported that the jet was shot down by air defences in Tver region, north of Moscow.
Kesha kipima hii kichwa silencer haikai
Boss wa Wagner afe kizembe hivyo huu ni mchezo wa kina putin wanatuchezea ile mjuwe keshakufa ili mrelax kumbe mtu yupo Africa huku anapiga kaziPrigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege
Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege
Watanzania tumuombee apumzike kwa amani!
Source: Al jazeera
====
Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika Kiongozi wa Jeshi Binafsi la Wagner Group, Yevgeny Prigozhin naye alikuwepo kwenye Ndege hiyo
Taarifa za awali zilizoripotiwa na akaunti ya Grey Zone inayodaiwa kuwa na uhusiano na #WagnerGroup zimeeleza kuwa Ndege hiyo ilishambuliwa na Walinzi wa Anga katika Mkoa wa Tver, Kaskazini mwa Moscow
Juni 2023, Prigozhin aliongoza kilichoelezwa kuwa ni Uasi wa muda mfupi dhidi ya Wakuu wa Kijeshi wa Urusi ambapo Rais Vladimir Putin alimtaja Kiongozi huyo kama Msaliti.
View attachment 2726581
Yevgeny Prigozhin was passenger on crashed plane, Russian officials say Ten died when aircraft came down on flight from Moscow to St Petersburg, according to emergency ministry
Wagner boss Yevgeny Prigozhin was on the passenger list of a plane which crashed in Russia, killing all 10 on board. He was believed to be on board the plane. Earlier, a Wagner-linked Telegram channel Grey Zone reported that the jet was shot down by air defences in Tver region, north of Moscow.
Ndo hivyo KGB imefanya kazi yakeFamilia tu zinazojitambuwa huwa hawasafiri pamoja, ndio sembuse hao Magenerali wa kijeshi?
Mnawachukulia powa sana, hata kwenye sinema za Hollywood mistake hizo hazifanyiki za kuweka mayayi yote kapu moja.
Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege
Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege
Watanzania tumuombee apumzike kwa amani!
Source: Al jazeera
====
Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika Kiongozi wa Jeshi Binafsi la Wagner Group, Yevgeny Prigozhin naye alikuwepo kwenye Ndege hiyo
Taarifa za awali zilizoripotiwa na akaunti ya Grey Zone inayodaiwa kuwa na uhusiano na #WagnerGroup zimeeleza kuwa Ndege hiyo ilishambuliwa na Walinzi wa Anga katika Mkoa wa Tver, Kaskazini mwa Moscow
Juni 2023, Prigozhin aliongoza kilichoelezwa kuwa ni Uasi wa muda mfupi dhidi ya Wakuu wa Kijeshi wa Urusi ambapo Rais Vladimir Putin alimtaja Kiongozi huyo kama Msaliti.
View attachment 2726581
Yevgeny Prigozhin was passenger on crashed plane, Russian officials say Ten died when aircraft came down on flight from Moscow to St Petersburg, according to emergency ministry
Wagner boss Yevgeny Prigozhin was on the passenger list of a plane which crashed in Russia, killing all 10 on board. He was believed to be on board the plane. Earlier, a Wagner-linked Telegram channel Grey Zone reported that the jet was shot down by air defences in Tver region, north of Moscow.
Kula chuma hichoBoss wa Wagner afe kizembe hivyo huu ni mchezo wa kina putin wanatuchezea ile mjuwe keshakufa ili mrelax kumbe mtu yupo Africa huku anapiga kazi
Russia sahv wanatumia akili kubwa mno kugain influence
Miez kadhaa nyuma hata ile mapinduzi ya wagner kuelekea moscow ilikua ni movie tu kina biden wakaingizwa chaka kumbe ilikua ni technique ya kuhamishia wapiganaji Beralus ili waizunguke vizuri Ukraine utake kumpindua mtu Putin akuache hai kwa miez yote hyo na ukiwa belarus mara africa akuache tu[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa atakuja kuibuka mtabaki mnaduwaa hii tension ya Niger inafanya Russia na Wagner wacheze karata yao kwa umakini sana
Hakufanya kosa usimlaumu. Mambo mwishoni hapo yalikuwa ni ya kulazimisha kila option ni ngumu.Hapa Prigozhin ndo alifanya kosa,alitakiwa aende mpaka Moscou.
Godfrey au?yaani Mungu anashangaza sana.Thank you God,na iwe hivyo.Bado Putin. Binafsi nilikuwa ninasali huyu shetwani afe.
Wamesema UnconfirmedWikipedia imeripoti prigozini kafarikiView attachment 2726622
Duuhh na hapo kamaanisha mamamaeee
Kama wafuatilia uzuri kuna kipindi wiki mbili au tatu nyuma Biden alikuwa alisema kwa kutania mara kwa mara akimlenga Prigozhin kwamba awe mwangalifu anapokula chakula chochote au kinywaji chochote.Boss wa Wagner afe kizembe hivyo huu ni mchezo wa kina putin wanatuchezea ile mjuwe keshakufa ili mrelax kumbe mtu yupo Africa huku anapiga kazi
Russia sahv wanatumia akili kubwa mno kugain influence
Miez kadhaa nyuma hata ile mapinduzi ya wagner kuelekea moscow ilikua ni movie tu kina biden wakaingizwa chaka kumbe ilikua ni technique ya kuhamishia wapiganaji Beralus ili waizunguke vizuri Ukraine utake kumpindua mtu Putin akuache hai kwa miez yote hyo na ukiwa belarus mara africa akuache tu[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa atakuja kuibuka mtabaki mnaduwaa hii tension ya Niger inafanya Russia na Wagner wacheze karata yao kwa umakini sana
Lengo la kuwa Jf members ni kuhabarishana na kujadiliana na sio kutengezeana bifuMod Nimemuita akaitika
Ubaya hauna kwao..,wahenga waliona mbali sana!Yaani kuua kote huko waukraine kazawadiwa kifo na Putin ndio maana na mwita Putin ni shetani
Kama wafuatilia uzuri kuna kipindi wiki mbili au tatu nyuma Biden alikuwa alisema kwa kutania mara kwa mara akimlenga Prigozhin kwamba awe mwangalifu anapokula chakula chochote au kinywaji chochote.
Majasusi wa CIA na wa SVR na FSB hufanya kazi pamoja hivyo walikwishafahamu mpango wa kujaribu kufanya uasi na nani ni wahusika wakuu.
Hivyo Surovokin amebanwa kama mwezi hivi na kasema na huyu Prigozhin yeye ametafutiwa utaratibu maalum.
Haiwezekani ndege itaanguka ndani ya Russia hilo eneo la Tver kaskazini mwa Moscow yaani ni katikati kabisa ya St Petersburg na Moscow, na isijulikane chanzo chake.