Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Hujiulizi out of all deaths iwe Crush ya ndege?
Wewe endelea kusema hukuwepo.
Here’s the full list of the passengers of the plane that was shot by russians according to the Federal AirTransport Agency:

1. Propustin Sergey
2. Makaryan Evgeniy
3. Totmin Alexander
4 Chekalov Valeriy
5. Utkin Dmitry
6. Matuseev Nikolay
7. Prigozhin Evgeniy

Crew members:
8. Levshin Aleksei, commander;
9. Karimov Rustam, co-pilot;
10. Raspopova Kristina, flight attendant.

Valery Chekalov was a shareholder in Evro Polis via Neva JSC, known as the owner of the Syrian oilfields and the issuer of payrolls for all the group's fighters. The company was also a supplier of equipment and weapons.
 
Kichapo ambacho Wagner walipata hiyo siku walipojaribu kutaka kuteka sehemu yenye mafuta inayokaliwa na Marekani kilikua kitakatifu.
 
Ndege ya pili iliyopaa kuelekea St Petersburg imetua baada ya kwanza kupigwa.
Wananchi wa Tver wamesema walisikia milipuko miwili kabla ya ndege kuanza shuka chini
Mpaka sasa nashangaa na kujiuliza maswali kabla hii ajali kutokea mie nilipatwa na usingizi wa ghafla ikabidi nichukue usingizi wa mchana kidogo cha kushangaza nikaota ndoto kuna mlipuko wa bomu umelipua ndege na mie nikawa katika kuweweseka mpaka nikaamka then kwenda kutizama taalifa nakuta taalifa ya ajali ya ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni accident ya kawaida au ndege yake imetunguliwa ili kuondoa upinzani dhid ya Putin? Jamaa alishapata utajiri wa kutisha. Migodi mingi ya dhahabu kuanzia Mali hadi CAR ilikuwa mali yake, na hata Syria alikuwa na kisima cha mafuta.

 
Kwa Video za ndege hii ikianguka, na ukubwa wa moto , likely Bomu lilikua limeshategeshwa au imedunguliwa .
Ni kweli; na mimi baada ya kuiona video, ni wazi kuwa ndege iliangushwa kwa bomu. Ilikuwa ni free fall, siyo ile ya mechanical failure ya kuona pilot anajaribu kuikoa ndege ku-glide. Yaani ndege ilianza kuanguka wakati watu wote ndani yake wakishakuwa maiti.

Putin ni rais wa maisha, ukimkosoa kidogo tu basi unatangulia kaburini. Hiyo ndiyo demokrasi ya Urusi.
 
[emoji845][emoji1255]🪖[emoji88]Sad images that the Western media do not show. The Ukrainian counteroffensive has completely failed. #UkraineRussianWar

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mission accomplie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…