Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

This was expected by the way..
Putin aliamua kupunguza mishahara na marupurupu kiasi cha kuwafanya wanajeshi wa Wagner kuwa "desperate".

Hata juzi safari yake ya Afrika ilikuwa ni ya mwisho kwani alikuwa akifuatiliwa na kugundulika alikuwa akijaribu kujinyanyua KIUCHUMI baada ya kupigwa panga na Putin.

Tusisahau jamaa aliwahi kufungwa jela kwa uhalifu na ni Putin ndie aliemtoa na kumfanya kuwa mpishi wake.
 
Tayari huyo
 
Kilichompeleka kuvuruga maslahi ya Ufaransa huko NIGER ni kipi? Beberu hashikwi ndevu. Ndio maana Putin humtoi Kremlin make anajua yuko kwenye Target. Wenzake wako mkutanoni BRICS huko S. Afrika yeye kajichimbia ikulu.
 
Mkuu kuna msemo usemao "ndege mjanja....."

Hatuwezi fahamu kuwa Ukriane ndo walokuwa "handlers" wa Prigozhin.
 
Mbona hivi karibuni tu mwenyewe alisema kwenye video fupi kuwa yuko kwenye nchi moja ya Afrika? Alikuwa amesharudi Russia?
 
Thank you God,na iwe hivyo.Bado Putin. Binafsi nilikuwa ninasali huyu shetwani afe.
Na lile tumbo lake anatoa hotuba eti anataka kuifanya Urusi iwe nchi yenye nguvu zaidi na kuifanya Afrika iwe huru. Akaposti na picha yuko Afrika, sasa kaliwa kichwa. Putin sio fala kutotoka nje ya Russia kizembe make anajua yuko kwenye Target.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…