Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

R.I.P Prigon, nimeumia Sana , hapa msela Putin kazingu, labda Kama alikuwa ni hatari mbeleni
Urusi hautakiwi uwe na cheo alafu uwe na akili, umaarufu na uzalendo. Ukiwa navyo hivyo life expectancy yako ni ndogo kuliko mwenye maambukizi ya VVU.
Tukisema mnadai tunaichukia Urusi. Kwanza sababu za Prigozhin kufanya mutiny ziko wazi na ni sahihi kwa wazalendo wa Urusi ndani ya jeshi, na ndio hao wanaondolewa
 
Kwenye dunia ya vita na ujasusi, sintofahamu huwa ni nyingi. Bado sijaamini kama amekufa huyu jamaa.
Hata kama akitangazwa amekufa, bado nitapata kigugumizi kuamini kama ni kweli. Isije akawa 'ghost worker' wa Urusi maeneo mbalimbali, mimi FSB, MOSSAD & CIA huwa nina mashaka na kila wakisemacho. Tujipe muda.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…