Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
Rais ni binadamu, every human beings can fall sick, ila hata aumwe nini, hawezi kusema akae pembeni kwasababu watu wa jicho la tatu humu tumo, tuliambiwa kitu, kwenye sauti HII na tukaelezwa sababu ila hatukuzieleza hizo sababu!

Tukamsikia wenyewe kwa masikio yetu
tukashauri tena sasa there is nothing anybody can do bali kutulia tuu kusubiria matokeo!
P
 
Mkuu inawezekana ukawa unaandika mengi lakini uwasilishaji wako unawapa watu wakati mgumu.. unatumia codes sana... kwanini usiwe unaweka taarifa zako kwenye platforms kubwa kama huko meta, youtube , X , tiktok, n.k?

Nyuzi hapa JF zinawekwa codes hadi hamu ya kusoma inakata, inakuwa sasa ni kama unafanya puzzle games, ama unafanya mtihani... una taarifa nzuri kweli , ila sasa jaribu kurahisisha uwasilishaji, kama jf zinapigwa chini posts zako, weka huko kwengine halafu njoo hapa kutoa taarifa tu kwamba umepost kule...

Ama tengeneza hata ID nyingine ambayo uki post kule, hio ID itakuja hapa kutoa taarifa mfano "Britannica kwenye X amesema Nchimbi amejiuzulu", watu humu watakimbilia huko X na watasoma habari yako... ulimweng huu wa kidijitali na social media kuna njia nyingi sana za kufanya taarifa zifike..
 
Mpango umeshabumburuka sijui itakuwaje
Wanaweza kuendeleza mchakato wao huo huo bila kuona aibu na hakuna kitu tutawafanya.

Jifikiri: mbona kuna mbinu za kudhuru watu zinabumburuka mapema na kufahamika kwa umma, lakini bado zikatekelezwa?

Mfano wa Nchimbi kupoteza nafasi yake, ilifahamika mapema, hadi kupelekea ye'mwenyewe akaaga waTz kwa kuwaasa kupigania Katiba mpya?

Wadhani kusema: ...'kama ningeambiwa nitoe neno la mwisho kwa waTz, ningesema Watz piganieni Katiba mpya'...

Wadhani maneno hayo aliyatoa kwa bahati mbaya bila kuzielewa njama zilizokuwepo?

Wakumbuka ishu ya Mdude ilikuwaje?

Mkuu we acha tu!
 
Hata 'patents" huwa haziandaliwi kipuuzi namna hii!'

What's being claimed, specifically?
 
MUNGU anaenda kuwatetea WaTanganyika. This time wasiiamini tena ccm.
 
Kwa hiyo tuseme wewe hapa pekee ndiye umejaaliwa "akili ya utambuzi"!

Binafsi siwezi kudai kuwa ninayo hiyo akili ya utambuzi unayodai wewe kuwa nayo, lakini ninachoamini kwa uwazi kabisa, Samia hana chake tena katika uongozi wa taifa hili.

Sasa wewe subiri hiyo ngwe nyingine ya kuwaua waTanzania unaodai hawana "akili ya utambuzi".
 
Dada mmoja tu, studio yake qnafanyia jikoni California, anapasha nchi mahabari mazito na uchambuzi na anapata ma vyanzo ya habari kuliko mistudio na mihariri mijitu mizima na mataasisi yenye ma bajeti na staf wanaolipwa mishahara.

Wakina ITV na Bahressa na Kusaga na magazeti, HAMUONI AIBUUU ??????

Wakina Mange na Maria na Hilda na kina Twaha Nuruvazi Maranja Masese Njiwa na Mwewe na wengine wote, hatuna cha kuwalipa. Pokeeni deepest gratitutes from Tanganyikan hearts.
 
Kikatiba unaweza kuongozwa na Makamu wa Rais na kua Rais ambae hajawai kuomba kura kwa wananchi? Wazee wa katiba mfano Ndijembi kua Rais wakati hajawai kuchaguliwa na wananchi?
Hili hata kwenye hiyo katiba mbovu halimo.
Kiutaratibu patakuwepo na mkanganyiko ambao italazimu Mahakama iamue.
Bunge lenyewe ni haramu; serikali na Rais aliyempendekeza huyo Makamu, wote ni HARAMU. Sasa ni katiba gani hiyo itakayoamua uchafu wa aina hiyo.

Watu watakwenda mahakamani kutafuta ufafanuzi wa janbo hili watakalojaribu kulazimisha lifanyike.
 
Kwenye maono ya 'HII' yako, tumswalie mtume ili Mwenyezi Mungu amwepushilie mbali Tulia Aksoni katika uongozi wa ngazi ya Urais.

Ni snitch mmoja mbaya sana zaidi ya Shetani mwenyewe!

Iliniuma sana, hadi leo naumia kitendo chake cha kulizuia Bunge kujadili watu kutekwa, kupelekea vitendo hivyo viovu kuendelezwa hadi leo bila wahusika kuhofia chochote.
 
Pote uliposhauriwa na wadau kuwa upunguze Codes zako, sijaona ukicomment chochote.

Wewe ni mpashaji 'habari za uhakika' mmoja mzuri sana wa kutegemewa.

Lakini habari hizo kuziwekea mafumbo ya kuzidi kipimo hushusha ari ya mtu kuendelea kukufuatilia, maana hata akikusoma haambulii chochote.

Punguza mafumbo mkuu, anonymous Ids zinatulinda sote humu.
 
We akili zako ni km huyo kahaba Mangi Kimavi ambaye si mtanzania tena ila anatumia mazombie ya chadema kujipatia pesa, mtu ameshakana uraia wa nchi yetu nini kinamwasha? Atuachie nchi yetu ahangaike na mambo ya Marekani. Mwigulu tunaye na ndiyo atakuwa Rais 2030
 
Naona watu wavivu au waoga wa kufungua code mnapambana kuhakikisha Britanicca aachane na code ngumu au siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…