Hahahaaa. Kwa kujipa moyo tu Alhamdulillah.Hahahahahahahahah.........Simba ni Taasisi kubwa Shadeeya kujiuzulu kwake haijalishi na wala haituumizi Je,angekufa na Simba ingekufa?? Hatuna muda wa kumuwazia mtu sisi Simba .
Angeondoka Boss MO tungeshtuka lakini Senzo si mtumishi akiondoka unaajili mwingine.
Mtani Umejipanga. LolMakali ya timu ni kwenye pitch tu sio vinginevyo
Sidhani kama ni jambo la kushtua. Huyo ni mwajiriwa tu kama alivyo kocha, katibu na mtunza hazina. Ametoka nafasi inazibwa, hata kama ingekuwa katikati ya msimuHivi wako wapi hawa waliokuwa wanatunyima usingizi inamaana hawajakiona hiki mbona hawajatia neno?
Na hii ndo tunaitaka sisi.Makali ya timu ni kwenye pitch tu sio vinginevyo
Makali ya timu ni kwenye pitch tu sio vinginevyo
Kama uongozi tu umeshituka wewe ni nani Mtani hadi usishituke? 😂Sidhani kama ni jambo la kushtua. Huyo ni mwajiriwa tu kama alivyo kocha, katibu na mtunza hazina. Ametoka nafasi inazibwa, hata kama ingekuwa katikati ya msimu
Simba ipo imara tumechukua ubingwa mara 2 mfululizo CEO alikuwa Senzo????Mtami Umejipanga. Lol
Ni maneno mazuri lakini kama mtu muhimu kwenye timu asikubali uhuni wa Manara uongoze timu hata kwa asilimia 5.Washaanza kukamatana uchawi hukooView attachment 1532289
Walitucheka jana sisi kuandika barua na wao leo wameshaandika yao. [emoji23][emoji23]
[emoji23]
Simba Sports Club: Taarifa kwa Umma
Simba ilishakuwa timu bora Africa kabisa hata ya huyo Senzo kuja.Hahahaaa. Kwa kujipa moyo tu Alhamdulillah.
Wacha tuonyeshane makali. 😂😂😂😂
Kiukweli mbali na hizi porojo unazoandika hapa Mtani alikuwa na umuhimu wake ndani ya Klabu na ndio sababu kwa baadhi ya mambo mlikuwa mnayafanya ambayo kabla yake hayakuwepo.Simba ipo imara tumechukua ubingwa mara 2 mfululizo CEO alikuwa Senzo????
Tumeingia Robo Fainali ya CAF Champions league Senzo alikuwepo Simba???
Senzo ni nani Simba Si mfanyakazi tu kama Haji Manara
Na huyo Manara ndo kaharibu mambo.Ni maneno mazuri lakini kama mtu muhimu kwenye timu asikubali uhuni wa Manara uongoze timu hata kwa asilimia 5.
Oooh.Simba ilishakuwa timu bora Africa kabisa hata ya huyo Senzo kuja.
🤣🤣🤣🤣 mwaka mzuri sana huu. 🤣🤣🤣Wanahangaika sasa hivi mitandaoni, halafu kibaya zaidi wao wametapiliwa
Sisi tunafanya kweli
Na bado moja, weka bando washa data, muda wowote tunakinukisha tena [emoji1548]
Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa.Deo Kandaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Naona GSM wana wapoooza MACHUNGU.
Hii ya morrison itawauma mpaka mnakufaa[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app