Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahahahahahahah.........Simba ni Taasisi kubwa Shadeeya kujiuzulu kwake haijalishi na wala haituumizi Je,angekufa na Simba ingekufa?? Hatuna muda wa kumuwazia mtu sisi Simba .
Angeondoka Boss MO tungeshtuka lakini Senzo si mtumishi akiondoka unaajili mwingine.
Hahahaaa. Kwa kujipa moyo tu Alhamdulillah.

Wacha tuonyeshane makali. 😂😂😂😂
 
Hivi wako wapi hawa waliokuwa wanatunyima usingizi inamaana hawajakiona hiki mbona hawajatia neno?
Sidhani kama ni jambo la kushtua. Huyo ni mwajiriwa tu kama alivyo kocha, katibu na mtunza hazina. Ametoka nafasi inazibwa, hata kama ingekuwa katikati ya msimu
 
Sidhani kama ni jambo la kushtua. Huyo ni mwajiriwa tu kama alivyo kocha, katibu na mtunza hazina. Ametoka nafasi inazibwa, hata kama ingekuwa katikati ya msimu
Kama uongozi tu umeshituka wewe ni nani Mtani hadi usishituke? 😂
20200809_193026.jpg
 
Simba ipo imara tumechukua ubingwa mara 2 mfululizo CEO alikuwa Senzo????
Tumeingia Robo Fainali ya CAF Champions league Senzo alikuwepo Simba???

Senzo ni nani Simba Si mfanyakazi tu kama Haji Manara
Kiukweli mbali na hizi porojo unazoandika hapa Mtani alikuwa na umuhimu wake ndani ya Klabu na ndio sababu kwa baadhi ya mambo mlikuwa mnayafanya ambayo kabla yake hayakuwepo.

Kimoja wapo ni usiri wa mambo yanayoendelea klabuni kwenu hatukuwa tunayajua cha zaidi tukiyasikia basi ujue sio tetesi.
 
Wanahangaika sasa hivi mitandaoni, halafu kibaya zaidi wao wametapiliwa

Sisi tunafanya kweli

Na bado moja, weka bando washa data, muda wowote tunakinukisha tena [emoji1548]
🤣🤣🤣🤣 mwaka mzuri sana huu. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom