Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Kwa kujipa moyo tu Alhamdulillah.Hahahahahahahahah.........Simba ni Taasisi kubwa Shadeeya kujiuzulu kwake haijalishi na wala haituumizi Je,angekufa na Simba ingekufa?? Hatuna muda wa kumuwazia mtu sisi Simba .
Angeondoka Boss MO tungeshtuka lakini Senzo si mtumishi akiondoka unaajili mwingine.
Wacha tuonyeshane makali. 😂😂😂😂