Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200610_075559.jpg
Kocha Mkuu, Luc Eymael atawasili leo tayari kuungana na kikosi kwa ajili ya muendelezo wa mechi za Ligi na Kombe la FA.
 
Hata kupitia kushinda Kuna misiteki zinatokea ndogo ndogo, lakini hazikuondolei kuwa bora.


Utopolo inakuwa bora tu ikichekeza na mabigwa wa taifa tu, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Oooh. Nadhani msimu wa 2020 /2021 tutakuwa bora kwa kila mechi tutakayokuwa tunacheza.
 
Back
Top Bottom