Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Umefanya nimecheka. Lol.Watu kwa siku wanacheza mechi mbili na zote wanashinda, umewahi kuiona wapi hiyo? Sanasana ili mjifariji mtasema muamala umepita, Wananchi bana, kaaazi kwelikwei🤣🤣🤣
Vibonge FC a.k.a kilo 12Kikosi cha #TimuYaWananchi kimeondoka kwenda kuikabili Mwadui FC mjini Shinyanga.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Naamini watapungua tu.Vibonge FC a.k.a kilo 12
😂😂😂Msema kweli mpenzi wa Mungu,ila umekosea kidogo tu
Bro kidunula1 naona kimyaa au ndio Yanga imekukera hutaki hata kupita huku. lol
Hapana, timu bora inapimwa kwa idadi ya mechi inazoshinda , sijui utopolo tunaipimaje mtani maana hawapimiki[emoji38][emoji38][emoji38]Pambana Mtani.
Japo eti mliposikia KMC ametufunga basi mkafanya juu chini kucheza nao huko Porini ili mupate sifa kupitia wao. Aiseee.
Niulize Mtani kwani kipimo kinapimwa na ushindi pekee?Hapana, timu bora inapimwa kwa idadi ya mechi inazoshinda , sijui utopolo tunaipimaje mtani maana hawapimiki[emoji38][emoji38][emoji38]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hahahaaa. Hamna bana.Wamekususia timu[emoji16]
Ndio, maini meshamentiNiulize Mtani kwani kipimo kinapimwa na ushindi pekee?
Hahahaaa. Hamna bana.
Hahahaaa. Sawa.
Hebu hukooo!!Pole[emoji16]
Pole hiyo veeepee wakati nyie mpo kama hivi tunaliendeleza? [emoji41][emoji41]
😅😅😅Sa ivi tuko chimbo mpaka mwakani ndo hali itakuwa kama zamani
Hata kupitia kushinda Kuna misiteki zinatokea ndogo ndogo, lakini hazikuondolei kuwa bora.Hahahaaa. Sawa.
Lakini [emoji848] Mtajuaje mapungufu sasa?
Oooh. Nadhani msimu wa 2020 /2021 tutakuwa bora kwa kila mechi tutakayokuwa tunacheza.Hata kupitia kushinda Kuna misiteki zinatokea ndogo ndogo, lakini hazikuondolei kuwa bora.
Utopolo inakuwa bora tu ikichekeza na mabigwa wa taifa tu, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mungu atupe uzima tu..Oooh. Nadhani msimu wa 2020 /2021 tutakuwa bora kwa kila mechi tutakayokuwa tunacheza.